... lakini si inasemwa kwamba gold ya Tanzania ndio the best duniani kuilinganisha na hizo za kichina, UK gold, etc? Tunaweza in quantity tukawa chini but best quality.Hii ndio orodha ya nchi tano zinazoongoza kwa uzalishaji wa dhahabu duniani.
Pamoja na wanasiasa wa Tanzania hasa wale wa ccm kutudanganya hasa miaka ya nyuma kwamba na sisi tulikuwa miongoni mwa mataifa hayo kumbe zilikuwa ni kiki za kisiasa tu.
1. China - 332 Tons
2. Russia -330.9 Tons
3. Australia -315.1 Tons
4. Canada - 192.9 Tons
5. USA - 186.1 Tons
Top 5 Gold Producing Countries in the World
In this article we are going to list the top 5 gold producing countries in the world.www.insidermonkey.com
Source: Niamini mimi kaka... lakini si inasemwa kwamba gold ya Tanzania ndio the best duniani kuilinganisha na hizo za kichina, UK gold, etc? Tunaweza in quantity tukawa chini but best quality.
Umedanganywa na nani?... lakini si inasemwa kwamba gold ya Tanzania ndio the best duniani kuilinganisha na hizo za kichina, UK gold, etc? Tunaweza in quantity tukawa chini but best quality.
Hujaibiwa kituHao wote wezi majambazi yameiba dhahabu Afrika
Hao wote wanayo dhahabu nyingi na imekuwa inachimbwa kwa mamia ya miaka.wengi hapo ni watunzaji, maana gold ndo fedha halisi
iko nyingi kwa kuwa yao hawauziHao wote wanayo dhahabu nyingi na imekuwa inachimbwa kwa mamia ya miaka.
Wanaila?iko nyingi kwa kuwa yao hawauzi
Russia againWanaila?
Usha sikia conspirancy ya nibiru repairWanaila?
Pole sana rafiki hakuna kitu kama hicho. Dhahabu yoyote ikishachimbwa na kusafishwa kwa kiwango cha juu hufikisha 24 karats (Purity 99.99%) bila kujali imetoka wapi.... lakini si inasemwa kwamba gold ya Tanzania ndio the best duniani kuilinganisha na hizo za kichina, UK gold, etc? Tunaweza in quantity tukawa chini but best quality.
bado unajifariji mzee dudus... lakini si inasemwa kwamba gold ya Tanzania ndio the best duniani kuilinganisha na hizo za kichina, UK gold, etc? Tunaweza in quantity tukawa chini but best quality.
Sahihi mkuuHao wote wezi majambazi yameiba dhahabu Afrika
Tatizo ni pale dhahabu iliyotoroshwa Tanzania bila kupitia kwenye takwimu ikaangukia China na China wakaiingiza kama imezalishwa mwao. Na wachina kokote waliko kwenye mataifa mengine hawana huruma ni majangili,majizi hatari. Wanashirikiana na watumishi wasiowaaminifu kutorosha dhahabu na mali ghafi zingine.Hii ndio orodha ya nchi tano zinazoongoza kwa uzalishaji wa dhahabu duniani.
Pamoja na wanasiasa wa Tanzania hasa wale wa ccm kutudanganya hasa miaka ya nyuma kwamba na sisi tulikuwa miongoni mwa mataifa hayo kumbe zilikuwa ni kiki za kisiasa tu.
1. China - 332 Tons
2. Russia -330.9 Tons
3. Australia -315.1 Tons
4. Canada - 192.9 Tons
5. USA - 186.1 Tons
Top 5 Gold Producing Countries in the World
In this article we are going to list the top 5 gold producing countries in the world.www.insidermonkey.com
Vifaa tu na teknolojia ya kujua haya madini yanapatikana Tanzania tu hatuna, ni mpaka wao waseme. Tupo nyuma sana. Yaani hapa tulipo anaweza kuja mmarekani akapima mawe akayapa thamani akasema ni nyie tu mnayo na tukaanza kuringa. Mfano, thamani ya Tanzanite nani anaamua iwapo ni sisi tu tunayo? Nchi za kiarabu zina mafuta na wana mchango kwenye kuamua bei.Tatizo ni pale dhahabu iliyotoroshwa Tanzania bila kupitia kwenye takwimu ikaangukia China na China wakaiingiza kama imezalishwa mwao. Na wachina kokote waliko kwenye mataifa mengine hawana huruma ni majangili,majizi hatari. Wanashirikiana na watumishi wasiowaaminifu kutorosha dhahabu na mali ghafi zingine.
Kama Tanzanite kuonekana South Africa ndio wazalishaji wakubwa wakati inapatikana Tanzania tu?
Kabisa. Sisi dhahabu yetu ina thamani kubwa. Lakini thamani ya dhahabu yetu na Tanzanite yetu pekee inaamuliwa na wengineVifaa tu na teknolojia ya kujua haya madini yanapatikana Tanzania tu hatuna, ni mpaka wao waseme. Tupo nyuma sana. Yaani hapa tulipo anaweza kuja mmarekani akapima mawe akayapa thamani akasema ni nyie tu mnayo na tukaanza kuringa. Mfano, thamani ya Tanzanite nani anaamua iwapo ni sisi tu tunayo? Nchi za kiarabu zina mafuta na wana mchango kwenye kuamua bei.