Nchi tano zinazoongoza kwa uzalishaji wa dhahabu duniani

Imeloa

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2013
Posts
14,885
Reaction score
18,083
Hii ndio orodha ya nchi tano zinazoongoza kwa uzalishaji wa dhahabu duniani.

Pamoja na wanasiasa wa Tanzania hasa wale wa ccm kutudanganya hasa miaka ya nyuma kwamba na sisi tulikuwa miongoni mwa mataifa hayo kumbe zilikuwa ni kiki za kisiasa tu.

1. China - 332 Tons
2. Russia -330.9 Tons
3. Australia -315.1 Tons
4. Canada - 192.9 Tons
5. USA - 186.1 Tons

... lakini si inasemwa kwamba gold ya Tanzania ndio the best duniani kuilinganisha na hizo za kichina, UK gold, etc? Tunaweza in quantity tukawa chini but best quality.
 
Pole sana rafiki hakuna kitu kama hicho. Dhahabu yoyote ikishachimbwa na kusafishwa kwa kiwango cha juu hufikisha 24 karats (Purity 99.99%) bila kujali imetoka wapi.

NB: Uingereza haimo kwenye orodha ya nchi zinazozalisha dhahabu duniani ila wana soko kuu la dhahabu linaloitwa London Bullion Market Association (LBMA).
 
... lakini si inasemwa kwamba gold ya Tanzania ndio the best duniani kuilinganisha na hizo za kichina, UK gold, etc? Tunaweza in quantity tukawa chini but best quality.
bado unajifariji mzee dudus
 
Hii ndio orodha ya nchi tano zinazoongoza kwa uzalishaji wa dhahabu duniani.

Pamoja na wanasiasa wa Tanzania hasa wale wa ccm kutudanganya hasa miaka ya nyuma kwamba na sisi tulikuwa miongoni mwa mataifa hayo kumbe zilikuwa ni kiki za kisiasa tu.

1. China - 332 Tons
2. Russia -330.9 Tons
3. Australia -315.1 Tons
4. Canada - 192.9 Tons
5. USA - 186.1 Tons

Tatizo ni pale dhahabu iliyotoroshwa Tanzania bila kupitia kwenye takwimu ikaangukia China na China wakaiingiza kama imezalishwa mwao. Na wachina kokote waliko kwenye mataifa mengine hawana huruma ni majangili,majizi hatari. Wanashirikiana na watumishi wasiowaaminifu kutorosha dhahabu na mali ghafi zingine.
Kama Tanzanite kuonekana South Africa ndio wazalishaji wakubwa wakati inapatikana Tanzania tu?
 
Vifaa tu na teknolojia ya kujua haya madini yanapatikana Tanzania tu hatuna, ni mpaka wao waseme. Tupo nyuma sana. Yaani hapa tulipo anaweza kuja mmarekani akapima mawe akayapa thamani akasema ni nyie tu mnayo na tukaanza kuringa. Mfano, thamani ya Tanzanite nani anaamua iwapo ni sisi tu tunayo? Nchi za kiarabu zina mafuta na wana mchango kwenye kuamua bei.
 
Kabisa. Sisi dhahabu yetu ina thamani kubwa. Lakini thamani ya dhahabu yetu na Tanzanite yetu pekee inaamuliwa na wengine
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Back
Top Bottom