Hapa hatuongelei mikakati coz mingi inakuaga siri ya nchi husika, zikishatoka ndio ulete hapa coz ata hizo nchi kwenye list ukute wapo pia kwenye mikakati kuongeza.China wanatengeneza 2 simuliteniously,ya sasa ilikuwa kwa ajili ya mafunzo sanasana.
Turkey wanaunda yao.
Pia iran wako kwenye mkakati huo
shukrai kwa somoJapan na Germany baada ya vita ya pili ya dunia majeshi yao yalikua controlled na umoja wa mataifa, na wana mikataba mingi ya ulinzi ndio maana walicut budget spending jeshini.
Ww mbona mshamba hiyo ni aircraft carrier ? Nyie ndiyo yale majinga ya kupinga hata yaliyo mazuriWe mleta mada unatokea mkoa gani? Ya Tanzania si hii hapa?
Kwani hujawahi kuwaona ndege wa baharini pamoja na kunguru wakipanda kwenye hii meli?Ww mbona mshamba hiyo ni aircraft carrier ? Nyie ndiyo yale majinga ya kupinga hata yaliyo mazuri
OK. Asante mkuu.MEli za kubeba ndege za kivita
Ww mbona mshamba hiyo ni aircraft carrier ? Nyie ndiyo yale majinga ya kupinga hata yaliyo mazuri
Huyo si mpingaji ila no mtu wa kujifananisha na wengine hata kama ukweli anaujuaWw mbona mshamba hiyo ni aircraft carrier ? Nyie ndiyo yale majinga ya kupinga hata yaliyo mazuri
Yeah ni kweli. Na kwa sasa hawataki kabisa kusikia mambo ya vitaJapan na Germany baada ya vita ya pili ya dunia majeshi yao yalikua controlled na umoja wa mataifa, na wana mikataba mingi ya ulinzi ndio maana walicut budget spending jeshini.
Nadhani hujaielewa mada.Katika dunia ya sasa yenye 5th generation military technology hakuna sababu ya kuwa na Aircraft Carrier nyingi na ndo maana ukiangalia nying zimetengeneza nyuma ya mwaka 1990 sasa mabadiliko mengi sana yametokea ndani ya miaka kuanzia 1992 mpaka sasa technology ya kijeshi imekuwa kubwa sana na majeshi mengi yamewekeza ktk anga sana kuliko majini au aridhini kwani ukiangalia angani kunapunguza sana umbali ukilinganisha na aridhini au majini
Hayo si matusi sasa ndo maanaHwahwahwa
We mleta mada unatokea mkoa gani? Ya Tanzania si hii hapa?
mkuu tafuta movie ya behind the enemy line uangalie nadhani utaona hiko kitu.Unamaanisha nchi hizo ndo zinatengeneza ndege ama?
Kwa maelezo yako ina maanisha bado kuna umuhimu wa hizi aircraft carrier kwa sababu zinabeba ndegeKatika dunia ya sasa yenye 5th generation military technology hakuna sababu ya kuwa na Aircraft Carrier nyingi na ndo maana ukiangalia nying zimetengeneza nyuma ya mwaka 1990 sasa mabadiliko mengi sana yametokea ndani ya miaka kuanzia 1992 mpaka sasa technology ya kijeshi imekuwa kubwa sana na majeshi mengi yamewekeza ktk anga sana kuliko majini au aridhini kwani ukiangalia angani kunapunguza sana umbali ukilinganisha na aridhini au majini
HahahaKwani hujawahi kuwaona ndege wa baharini pamoja na kunguru wakipanda kwenye hii meli?
DuuuhJeshi la US ndilo lenye vifaa vingi na bora zaidi, ata budget yao ni kubwa kuliko jeshi lolote ingawa jeshi la China lina active soldiers wengi kuliko USA, Russia ana moja tu, China nayo moja tena haina miaka mingi in service.
Hii inabeba mpk zile bombaida heheheeeWe mleta mada unatokea mkoa gani? Ya Tanzania si hii hapa?