Nchi tisa zinazomiliki aircraft carrier duniani

Nchi tisa zinazomiliki aircraft carrier duniani

sina imani na mleta mada kwamba putini anayo moja si kweli
 
Sisi tutaishia Kubeti tu. Kama miaka ya 1900s wenzetu wanazo leo ni 2000 hata kutengeza boat hatuwezi then tunataka kuwa inch ya viwanda.
 
The NIMITZ is the largest and biggest US Aircraft Carrier ever made in the world. It can cruise 20 years without refueling haha
 
We mleta mada unatokea mkoa gani? Ya Tanzania si hii hapa?

Ferry_loading.jpg
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ivi ndio vitu za kuandika sasa achana na waoamka wanawaza Bavicha
 
NCHI ZINAZOMILIKI AIRCRAFT CARRIER DUNIANI NA IDADI

Na Thabit Karim Muqbell

Dunia ina aircraft 19 zinazofanya kazi, lakini zilitengenezwa nyingi huko miaka ya nyuma. Uchakavu na teknolojia duni kwa pamoja mambo haya yamefanya dunia ibake na Aircraft carrier 19 huku Marekani pekee akimiliki Aircraft carrier 10. Na miongoni mwa Aircraft Carrier latest ya USA ni yenye jina la George H.W. Bush yenye thamani ya Trilioni 12 kwa pesa za Tanzania[emoji1] [emoji1] [emoji1] . Listi ni kama ilivyo chini hapo[emoji116] [emoji116]

1: USA (10)
2: Italy (2)
3: Russia (1)
4: India (1)
5: Brazil (1)
6: France (1)
7: China (1)
8: Spain (1)
9: Thailand (1)

Marekani siipendi ila anakimbiza mbaya. Nchi yangu ya Tanzania ninayoipenda inatakiwa tujipange nasi tumiliki hata Aircraft Carrier moja tu.

Source List of aircraft carriers in service - Wikipedia

View attachment 451692

Tuwe nazo kwaajili ya kubebea nini sasa?
 
China wanaunda mbili
 
Japan na Germany baada ya vita ya pili ya dunia majeshi yao yalikua controlled na umoja wa mataifa, na wana mikataba mingi ya ulinzi ndio maana walicut budget spending jeshini.
Moja ya mkataba waliowekeana Marekani na Japan , budget ya ulinzi isizidi asilimia moja
 
Mtoa mada umepitosha rasia wanzo tano na nyambizi zaidi ya 10
 
Asante mtoa mada kwa uzi murua, japokuwa:
Comment yako ya Tanzania tumiliki hata moja ina vikwazo kadhaa.
1. Hatuna hizo ndege za kuzibeba humo. Hivyo kama tunataka, kwanza tuanze na kuongeza kwa wingi sana idadi ya ndege zilizopo.
2. Lazima tuwe na manowari za kivita zaidi ya tatu ya kuilinda. By itself hiyo ni kubeba ndege tu, kila inapoenda majini lazima iongozane na manowari za kuilinda.
3. Hatuhitaji hayo madude yote. Sera yetu ya mambo ya nje haina mpango wa kuvamia nchi nyingine, kujilinda kama tukivamiwa. Kwenye kujilinda hiyo Aircraft Carrier ni useless. Na hii ndio sababu matafa mengi, hata yale makubwa hawana na hawajengi.

Kwa nchi kama zetu, tunajiimarisha zaidi kwenye Defense not Offense.
 
Back
Top Bottom