Nchi tisa zinazomiliki aircraft carrier duniani

sina imani na mleta mada kwamba putini anayo moja si kweli
 
Sisi tutaishia Kubeti tu. Kama miaka ya 1900s wenzetu wanazo leo ni 2000 hata kutengeza boat hatuwezi then tunataka kuwa inch ya viwanda.
 
The NIMITZ is the largest and biggest US Aircraft Carrier ever made in the world. It can cruise 20 years without refueling haha
 
Ivi ndio vitu za kuandika sasa achana na waoamka wanawaza Bavicha
 
sina imani na mleta mada kwamba putini anayo moja si kweli
Ukweli wako ni upi? Matokeo (results) ya utafiti upingwa kwa kufanya utafiti. Kama huwezi mijadala kaa pembeni!
 

Tuwe nazo kwaajili ya kubebea nini sasa?
 
China wanaunda mbili
 
Japan na Germany baada ya vita ya pili ya dunia majeshi yao yalikua controlled na umoja wa mataifa, na wana mikataba mingi ya ulinzi ndio maana walicut budget spending jeshini.
Moja ya mkataba waliowekeana Marekani na Japan , budget ya ulinzi isizidi asilimia moja
 
Mtoa mada umepitosha rasia wanzo tano na nyambizi zaidi ya 10
 
Asante mtoa mada kwa uzi murua, japokuwa:
Comment yako ya Tanzania tumiliki hata moja ina vikwazo kadhaa.
1. Hatuna hizo ndege za kuzibeba humo. Hivyo kama tunataka, kwanza tuanze na kuongeza kwa wingi sana idadi ya ndege zilizopo.
2. Lazima tuwe na manowari za kivita zaidi ya tatu ya kuilinda. By itself hiyo ni kubeba ndege tu, kila inapoenda majini lazima iongozane na manowari za kuilinda.
3. Hatuhitaji hayo madude yote. Sera yetu ya mambo ya nje haina mpango wa kuvamia nchi nyingine, kujilinda kama tukivamiwa. Kwenye kujilinda hiyo Aircraft Carrier ni useless. Na hii ndio sababu matafa mengi, hata yale makubwa hawana na hawajengi.

Kwa nchi kama zetu, tunajiimarisha zaidi kwenye Defense not Offense.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…