Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,828
- 165,667
Ndio Ukilaza wenu Ulipo Ishia hovyo kabisaKila mtu aliona kilichotokea tarehe 27 na 28 Oktoba 2020. Wasimame na wananchi. Serikali zipigwe vikwazo regardless ya nani yumo.
Hivi kuna kamanda anayejua reality kweli?Babako kakuchapa unaenda kushtaki kwa jirani ya babu yako?
Kwani unatatizo la behavioural bias kama overconfidence, confirmation, status quo bias?
Jirekebishe basi kamanda uendane na reality.
Tena kwetu wananchi ndo asijaribu kabisa. Aende zake huko na ushoga wake πTundu Lissu yuko very frustrated kuona anapuuzwa na kila mtu.
Tena siyo muda mrefu ππSalary slip utakufa kwa stress
Big no Lissu hausiki na dhambi hiiTena kwetu wananchi ndo asijaribu kabisa. Aende zake huko na ushoga wake π
Naona uko mbali na reality, pole!Big no Lissu hausiki na dhambi hii
Usichokijua:Kila mtu aliona kilichotokea tarehe 27 na 28 Oktoba 2020. Wasimame na wananchi. Serikali zipigwe vikwazo regardless ya nani yumo.
Hakuna mwerevu wa kumpuuza Lissu, anapuuzwa na wajinga wachache sana.Tundu Lissu yuko very frustrated kuona anapuuzwa na kila mtu.