Nchi wafadhili sasa muamue kusimama na wanasiasa au wananchi

Chadema chama cha wachaga...awataacha kuichukia serikali ata ifanye zuri lipi ilimradi wapate ajenda ya ikulu
Tatizo sio ukabila, tatizo hapa ni wizi wa wazi wa kura, ili mtu apate ushindi wa kishindo, na wasinge pora ushindi Bunge uenda wapinzani wangezidi, na hicho ndio hofu yao!
 
Kuna watu huwa mnafikiri Maalim na Zitto ni wapinzani. Kansa kubwa ya nchi hii ni kuwa na idadi kubwa ya watu ambao hawawezi kung'amua haraka kwamba Seif na Zitto ni mapandikizi!
Kuna watu pia wanafikiri Mbowe ni mpinzani!! Huwezi kuseparate matendo ya Zitto na Mbowe. BTW Mbowe ndiye aliyemrecruit Zitto
 
Afadhali ACT kuliko CDM
 
Unatapatapa
 
Hata serikali unayoitetea inakuona punguani kwasababu inajua ilichofanya kwenye uchaguzi
 
Wanasiasa uchwara hawa ni aibu kwa taifa na bara zima la Africa
 
Sijawahi kuona umeandika point hata mara moja. Ila unapenda sana kutukana, hivi usipotukana unapungukiwa nini?
 
Tuliwaambia hao mnaowashabikia njaa tupu mkatokwa na povu Hadi Sasa mbwatukaji wenu Lissu bado kashikamana na beberu lake Amsterdam anawaaminisha upumbavu na mnamshabikia sijui akili zitarudi lini.
 
Chagueni kusimama na wananchi au kusimama na wanasiasa.
Huwezi kupata unayoita demokrasia kupitia kwa wafadhili
Wafadhili waliishiwa nguvu pale tulipoweza kugharamia uchaguzi kwa 100%,pale ndio huwa panawapa nguvu sana,lakini kwa sasa usitegemee jipya
Ukweli ni kwamba wazungu wamegundua kwamba kadiri wanavyojifanya kuisusia na kuitenga Afrila,mchina anajipenyeza na kujiimarisha kuichumi,wameamua liwalo na liwe,ndio maana unaona ufaransa kaleta barua ya pongezi
 
Kuna mahala nimeona mtu amekuambia ukweli kuwa wewe ni mjinga,huna akili kabisa,hili andiko ni uthibitisho.
 
Mkuu umeongea point tupu
 
Nipe mfano wa taifa lolote ambalo lilisimama na China na limefanikiwa?
 
Kwa hiyo hata Lisu wasimfadhili, maana ipo siku atakuwa kama hao?
 
Nipe mfano wa taifa lolote ambalo lilisimama na China na limefanikiwa?
China yenyewe imejisimamia na ipo hapo ilipo.
Pia na wewe tupe taifa hata moja lililopata maendeleo kutoka kwa hao mabeberu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…