Si hata marekani trump ametoa medical coverage for the poor na watu wameanza kunyimwa matibabu smh!!....Tanzania mna shida .....Matibabu kesha pewa kulipa tu ndio hajalipa ....chakula anapewa na kitanda cha kulala shida ni hawezi toka mpaka alipe deni na kila siku deni lake lina panda....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.