Ndio hiyo LDC ikionyesha true colours.
Endelea,
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hii thread imekuumiza...mikopo tu jamaa wamefurika hvo...je ration...si ni balaa...
Eti tanzania watu maisha wanayamudu...kumbe hali taabani
Halafu ujue hmna ukame[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji122][emoji122][emoji122]
Chakula cha kutosha mngekula mavi...duh!!!
Mkopo tu aisee...mmerundikana hvo...kweli hampendi ukwelView attachment 1194370
Watu wameskia mkopo wamefurika kuelkea uwanja wa taifa dar..halafu huku tunaaminishiwa tanzania watu wanayamudu maisha yao ya kila siku...
Always in denial..mkiambiwa nynyi ni maskini mnakataa...haya angalie raia wenu walivyokusanyika kisa wamesikia ni mkopo...km ingelikuwa ration..si wangelitoka watu mpka mikoani....
https://www.facebook.com/
Tukisema uwezo wenu wa kufikiria ni mdogo, huwa mnakasirika. Hivi kweli kuna kitu cha kujadili hapa?,cc Joto la jiwe
cc Ummayed