komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Watu wameskia mkopo wamefurika kuelkea uwanja wa taifa dar..halafu huku tunaaminishiwa tanzania watu wanayamudu maisha yao ya kila siku...
Always in denial..mkiambiwa nynyi ni maskini mnakataa...haya angalie raia wenu walivyokusanyika kisa wamesikia ni mkopo...km ingelikuwa ration..si wangelitoka watu mpka mikoani....