Duuuh.....Midanganyika. Hakuna Mikopo kwenye Benki ama imekuaje tena???
Duuuh.....Midanganyika. Hakuna Mikopo kwenye Benki ama imekuaje tena???
Even the super billionaire in East Africa Mr. Mo dewji anachukua mkopo..who are they???.Wacha kuumia kijana...
Tatizo sio mikopo....vyuma ndio vimekaza aisee
Even the super billionaire in East Africa Mr. Mo dewji anachukua mkopo..who are they???.
Which school you attended??..it seems your teacher worked for nothing..
Umesoma kweli hyo habari ukaielewa..kemu wacha nikuletee tena...jamaa maisha yamewashinda hadi wameamua wakachukue hyo mikopo..we unaleta ujinga hapaView attachment 1195146
Ndo nakwambia even america na duniani kote kuna kundi flani la watu husaidiwa kama vile wajane,wazee,masikini(vilema)..kuhusumkopo hata matajiri hukopa,au hujawahi kuona?