Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 15,749
- 37,420
Polisi wa kenya baada kurudi nyumbani kutoka haiti wanakwambia polisi walikosa uhaminifu ile nchi sababu ni wao.
sasa wamefikia hatua kuwaua mpaka na familia zao nili nukuu BBC makala hipo.
Jeshi la polisi tanzania kumbukeni mna familia na ukoo je mnavyo shindwa kuzibiti na kufanya haya kisa chama au mtu mmoja mnaona mnaleta yale ya HAITi.