Nchi ya Kenya haiwezi kuja kuendelea!

kutoka county ya wajir, jirani na somalia...ugatuzi unafanya mambo kupitia katiba mpya!!!






walinyimwa pesa ya maendeleo for 50 years sasa katiba yagawa hela kisawa kwa gatuzi 47, wajir wamejengea rami kwa zao mwaka jana!!!



little by little
 
Naomba upate darasa kwamba mzungu aliwacha Tanzania na Kenya zikiwa level moja kiuchumi, leo hii tumewaacha nyie hii ni baada ya sisi kupiga chini chama tawala kilichokua kinatuangusha.
Acha, maneno weka ukweli
Hicho chama cha, tanu kimetoka lini juzi tu
Viwanda Vingi Kenya vimejengwa enzi za malikia
 
Mambo yote? n mambo gani hayo
 
Na ufisadi wamuacjie nani wakenya no mwezi kwa Mali za umma kwao
Wana siasa wamegawana vyeo sijui gavana mbinge sijui county ilimrado wapige dili

Ndio nchi inaongoza kwa madeni east africa
 
Mtoa mada utakuwa umekosea pale ulipoandika kenya. Naisi ulikuwa wamaanisha Tanzania. Tanzania ilipata uhuru mapema sana kuliko kenya, iliachiwa viwanda lukuki na wakoloni ila leo kenya inaizidi Tz kila kitu kwenye maendeleo, uchumi, afya, biashara, elimu etc
 


Lawmakers have suffered a major blow in their bid to arm-twist Treasury to pay them Sh 3.3 billion after the High Court put a halt on the process.
The temporary orders given by High Court judge John Mativo blocked Treasury Cabinet Secretary Henry Rotich, Parliamentary Service Commission, Salaries and Remuneration Commission and Attorney General Githu Muigai from considering, processing, advising, recommending, approving or even paying the MPs the benefits and salaries sought up until the case is heard and determined.
The decision by the lawmakers to award themselves the hefty amount to be footed by the taxpayers did not go down well as the judge agreed that the case filed by lawyer Dismas Wambola had reasonable grounds to move the court to issue temporary orders.
A day after the Members of Parliament threatened to shoot down the 2017-2018 budget over what they claim "legitimate pay for their five-year term," lawyer Dismas Wambola moved to court arguing that they cannot have what they have not worked for.
The lawyer in his case filed under a certificate of urgency said the billions sought are out of the legislators' own selfish interests.
"Payment for work not done shall violate the principle that remuneration should be equal to or commensurate to the value of work done," the judge was told.
"The payments shall be against public policy since it will not be commensurate with the public wage bill and the national economy. The same will not serve any public interest but personal and selfish interests of the MPs."
See Also: MPs threaten to shoot down the budget if they are not paid Sh3.3 billion for 8 months of no work
In the case where the National Assembly and the Senate are also respondents, lawyer Wambola told the court that if the legislators are allowed to have their way, there is a likelihood that the county leadership and the executive will equally demand their pounds.
He added that MPs want to further rip off Kenyans who are already struggling to shoulder the huge burden of heavy taxation.
Wambola added: "The payment will set a dangerous precedent with other public officers such as governors, Members of County Assemblies, the President and his deputy who will potentially be entitled to similar payments."
The case fronted by the lawyer is that it is unfair for the lawmakers to go for the huge pay whereas lecturers and doctors are fighting in the streets to get a pay increase.
He argued that the Government has held its ground that the economy cannot sustain huge perks.
 

East African Airways was divided based on contribution. Tanzania got what they had contributed
 
Mzungu aliacha uchumi wa Tz na Kenya ukiwa kitu kimoja. Hivi huelewi historia yako?


Siyo kweli hata kidogo, Tanzania/Tanganiyk ni late comer kwenye EAC iliyoanzisha Mzungu, EAC ilikuwa ni Kenya na Uganda, muingereza hakuwekeza chochote Tanganyika/Tanzania!
Kwa nini east African Airways iligeuzwa kuwa Kenya Airways na kuiba ndege zote za EAC?
 
East African Airways was divided based on contribution. Tanzania got what they had contributed


Unajua East Afrian Airways ilianzishwa lini na nani aliianzisha? Ilianzishwa mwaka 1943 na ilianzishwa na Mzungu siyo Mkenya mweusi!
Sasa Kenya alicontribute nini mpaka useme ilistahili kupata share kubwa? Wote Waafrika hatukuchangia chochote kwenye kuanzishwa kwa East african Airways ilikuwa ni project ya Mzungu, sasa kwanini Mali zote Kenya wachukuwe?
 


Hivi wewe hujui lolote kuhusu biashara? By the time EAC broke up, Kenya owned 68℅ of the airline. Subsequent investors can come in and own 100℅ of a business.
 
hata kama alianzisha mzungu na sio mkenya mweusi kama unavyosema, ila raslimali alizotumia huyo mzungu ni za Kenya na kwaiyo ilikua ni Mali ya wakenya. Nikupe mfano mdogo tu, CEO/meneja/accountant au mfanyakazi yeyote akianzisha bidhaa flani kwenye kampuni iliomuajiri na ikafanya vizuri, siku akiacha kazi kwenye kampuni husika anaondoka na bidhaa au inabaki ni mali ya kampuni?
 
Tutolee huu upumbavu wako huku kazi kujaza kinyesi kichwan wew kenya yetu inakuhusu nin.mmeshindwa kujua watanzania wanataka nin mnakimbizan na opposition tu...mandaz nyie
 
Tutolee huu upumbavu wako huku kazi kujaza kinyesi kichwan wew kenya yetu inakuhusu nin.mmeshindwa kujua watanzania wanataka nin mnakimbizan na opposition tu...mandaz nyie
Mkuu, futa povu mdomoni, huu mchezo hauhitaji hasira [emoji12]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…