Strong ladg
JF-Expert Member
- Jul 15, 2021
- 1,357
- 3,114
Kwa nini ?Ni wakati sasa wa Tanzania kujitoa kwenye jumuiya ya Common Wealth
Rwanda ni coward tu wewe shabiki wa PKSasa ndio ninaweza kusema Afrika inaanza kuamka 💪 Rwanda nae kawafukuza Wabeleji.
Thank you God.
Coward kivipi?Rwanda ni coward tu wewe shabiki wa PK
Nini faida za Tanzania kuwepo kwenye jumuiya ya Common Wealth? Je unajua tunailipa UK kwa kututawala?Kwa nini ?
Umoja wa Afrika ni chombo kinachotumiwa na Umoja wa Ulaya kufanikisha mambo yao. Kuuvunja sio rahisi labda wapatikane viongozi wazalendo kwelikweli. Sio hawa vibarakaNilisikia pia na Mali ipo.
Kimsingi hizi jumuiya hazina faida yoyote.
Binafsi napendekeza hata Umoja wa Afrika ufutwe au wanachama waachane nao.
Kwanini tunashindwa kuwa na jumuiya zilizo imara kama Umoja wa Ulaya.
Common wealth ni ScamNi wakati sasa wa Tanzania kujitoa kwenye jumuiya ya Common Wealth
Rwanda anatuigizia tu😂😂. Mkataba wa kuwauzia mádini ya Kongo nchi za Umoja wa ulaya ambao Rwanda walisaini mwaka jana si haujavunjwa? Sasa nini kilichobadilika hapo?Sasa ndio ninaweza kusema Afrika inaanza kuamka 💪 Rwanda nae kawafukuza Wabeleji.
Thank you God.
Mwaka 77 ulivunjika.Umoja wa Afrika ni chombo kinachotumiwa na Umoja wa Ulaya kufanikisha mambo yao. Kuuvunja sio rahisi labda wapatikane viongozi wazalendo kwelikweli. Sio hawa vibaraka
Kidogo kidogo....ila hawa Wakoloni Weusi wakiachiwa Watutawale Ni Mauwaji ya Halaiki. Hawajali Ubinadamu hata kidogo mbele ya madarakaSasa ndio ninaweza kusema Afrika inaanza kuamka 💪 Rwanda nae kawafukuza Wabeleji.
Thank you God.
Mwaka 77 , sio sasahivi. Kipindi hicho hata EU haikuwepoMwaka 77 ulivunjika.
Hatuwezi kujenga jumuiya imara wakati tumeshindwa kujenga taasisi (taifa) imara...Kwanini tunashindwa kuwa na jumuiya zilizo imara kama Umoja wa Ulaya.