Nchi ya Oman yaikana meli iliyopitia Tanzania kuleta gesi Kenya

Halafu hakuna taifa linashobokea Urusi kama Tanzania hapa Afrika, Urusi wametuma mjumbe wao Afrika ila akakwepa Tanzania kama ishara za kuonyesha hamuna ushawishi wowote popote....
Ndio kwani Tatzo liko wapi! Si kama Kenya tu anavyoshobokea Marekani!?
 
Tatizo lipo, yaani Urusi ametuma mjumbe aje kwa mataifa yaliyo upande wake halafu anawakwepa nyie ambao mnamuabudu kabisa haswa.
 
Wewe ni jinga always. Ila ngoja nikupe history kidogo. Sisi ni mojawapo ya nchi zisizofungamana na pande yeyote ile. Inaitwa non alignment movement. Wakati nyinyi mkishobokea apartheid na Western diplomacy, kuna nchi zilikuja anzisha non alignment movements
 
Wewe chizi kweli ndio shida ya njaa mtu unashindwa kufikiria vizuri,kwahyo mjumbe wa Russia kaja kwenu ina maana mlimuunga mkono kwenye ile kura ya UN kuhusu mgogoro wa Russo-Ukraine iliyopigwa miez michache iliyopita?
 
Gesi retu iko Ntrwaraaa tena Nsimbati kwa bibi hiyo ya kwenyu itafutieni wenyewe..[emoji23] sisi haitujui wala hatuijui
 
Wewe ni jinga always. Ila ngoja nikupe history kidogo. Sisi ni mojawapo ya nchi zisizofungamana na pande yeyote ile. Inaitwa non alignment movement. Wakati nyinyi mkishobokea apartheid na Western diplomacy, kuna nchi zilikuja anzisha non alignment movements

ha ha ha hizi hasira, ila jamaa amewakwepa hana habari na uwepo wenu au umuhimu wenu in geopilitics licha ya ambavyo huwa mnamshobokea Putin.
 
Wewe chizi kweli ndio shida ya njaa mtu unashindwa kufikiria vizuri,kwahyo mjumbe wa Russia kaja kwenu ina maana mlimuunga mkono kwenye ile kura ya UN kuhusu mgogoro wa Russo-Ukraine iliyopigwa miez michache iliyopita?

Mrusi amekuja kwa mataifa ambayo yapo upande wake na yana ushawishi wa maana, nyie hapo licha ya kumuabudu Putin, hamjulikani.
 
Wewe nyang'au subiri tu utawaliwe na mzee wa tibim sasa. Acha kutupigia kelele zako hapa.
 
Kama mna muogopa mme wenu irudisheni tuendelee kuitumia. Sisi tunajali maslahi yetu. Tumejiridhisha inatufaa hata kama ingetoka N Korea.
Nyie ambao mnataka kutambuliwa au kushobokewa subirini.
Ila mjue hata mahindi tunayowauzia yanatoka huko, sasa suseni kula tuone
Hahahaaaaaa
.umewaweza ,
Hakunaga mahindi bongoo
 
Tanzania don't support sunctions against Iran,Russia or Venezuela.USA smuggling crude oil from northern Syria.stupid articles like this will not help Africa.
 
Back
Top Bottom