Ndio kwani Tatzo liko wapi! Si kama Kenya tu anavyoshobokea Marekani!?Halafu hakuna taifa linashobokea Urusi kama Tanzania hapa Afrika, Urusi wametuma mjumbe wao Afrika ila akakwepa Tanzania kama ishara za kuonyesha hamuna ushawishi wowote popote....
Wewe ni jinga always. Ila ngoja nikupe history kidogo. Sisi ni mojawapo ya nchi zisizofungamana na pande yeyote ile. Inaitwa non alignment movement. Wakati nyinyi mkishobokea apartheid na Western diplomacy, kuna nchi zilikuja anzisha non alignment movementsTatizo lipo, yaani Urusi ametuma mjumbe aje kwa mataifa yaliyo upande wake halafu anawakwepa nyie ambao mnamuabudu kabisa haswa.
Wewe chizi kweli ndio shida ya njaa mtu unashindwa kufikiria vizuri,kwahyo mjumbe wa Russia kaja kwenu ina maana mlimuunga mkono kwenye ile kura ya UN kuhusu mgogoro wa Russo-Ukraine iliyopigwa miez michache iliyopita?Tatizo lipo, yaani Urusi ametuma mjumbe aje kwa mataifa yaliyo upande wake halafu anawakwepa nyie ambao mnamuabudu kabisa haswa.
Kama lile choko linalotrend mitandaoni lililokimbilia Ujerumani kutokea Mombasa..Sisi hatawashobokei wazungu kama wakenya mpaka wengine mmeamua muolewe nao
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni jinga always. Ila ngoja nikupe history kidogo. Sisi ni mojawapo ya nchi zisizofungamana na pande yeyote ile. Inaitwa non alignment movement. Wakati nyinyi mkishobokea apartheid na Western diplomacy, kuna nchi zilikuja anzisha non alignment movements
Wewe chizi kweli ndio shida ya njaa mtu unashindwa kufikiria vizuri,kwahyo mjumbe wa Russia kaja kwenu ina maana mlimuunga mkono kwenye ile kura ya UN kuhusu mgogoro wa Russo-Ukraine iliyopigwa miez michache iliyopita?
Wewe nyang'au subiri tu utawaliwe na mzee wa tibim sasa. Acha kutupigia kelele zako hapa.Mrusi amekuja kwa mataifa ambayo yapo upande wake na yana ushawishi wa maana, nyie hapo licha ya kumuabudu Putin, hamjulikani.
HahahaaaaaaKama mna muogopa mme wenu irudisheni tuendelee kuitumia. Sisi tunajali maslahi yetu. Tumejiridhisha inatufaa hata kama ingetoka N Korea.
Nyie ambao mnataka kutambuliwa au kushobokewa subirini.
Ila mjue hata mahindi tunayowauzia yanatoka huko, sasa suseni kula tuone