Nchi ya Rwanda na Rais wake Paul Kagame wamekuwa mfano bora na wa kuigwa katika kupambana na COVID-19

Nchi ya Rwanda na Rais wake Paul Kagame wamekuwa mfano bora na wa kuigwa katika kupambana na COVID-19

Kuna nchi magavana uchwara wanakusanya watu na kuanza kuhubiri "upumbavu"...Eti wenye nyumba washushe kodi kwa 50%,Kwani kuna lockdown?..Mishe si zinaendelea?
Hivi mkuu hili suala mbona sijaona hata wananchi wakilishobokea au na wao wanajua haliwezekani/wakishajua ahadi za gavana hua hazitekekezeki?
 
Rwanda kanchi kadogo kama piriton hata mimi nina uwezo wa kuwapa chakula wote mpaka rais wao.

Kweli kabisa,na sababu sisi ni nchi kubwa nashauri tufanye kama Canada itayatoa $2,000 kila mwezi kwa miezi 4 kwa wote waliopunguzwa kazi sababu ya Corona ili tudhirishe sisi ni nchi kubwa na ni donor country
 
Serikali ya Rwanda kupitia Rais wake imefanya yafuatayo..

1. Inawajali Wananchi wake mara kwa mara juu ya Ugonjwa
2. Inatoa Msaada wa Vyakula bure kabisa kwa Wananchi wake
3. Inatoa bure kabisa Vifaa vya Kujiinga na Ugonjwa kwa Wananchi wake
4. Waziri wake wa Afya hana Unafiki katika Kutoa Taarifa sahihi kwa Wananchi
5. Kwa Rwanda huu Ugonjwa siyo wa Aibu au wa Kuficha kwa Jumuiya ya Kimataifa
6. Viwanja vya Ndege na Mipaka yote Umakini umeongezeka na Kudhibitiwa
7. Imeunganisha nguvu na Jumuiya ya Kimataifa katika Kutafuta Suluhu ya Ugonjwa duniani

Serikali zingine duniani na Marais wao wamefanya yafuatayo

1. Wanaficha Taarifa za Wagonjwa kwa Wananchi wao
2. Marais wao wanajificha Kuuongelea wakidhani ni Ugonjwa la laana
3. Mawaziri wao wa Afya wakizungumza ni Kuchekacheka tu kama Ngiri na Mizaha mingi
4. Wananchi wao wanajazana hovyo hadi Kujambiana sana katika DalaDala
5. Wanajali sana Mapato ya Kodi kuliko kujua idadi ya Wagonjwa wanaoongezeka
6. Wanaficha Taarifa za Ugonjwa ila chini chini wanaomba Misaada ya Pesa WB
7. Viongozi wao wanakataza Mikusanyiko ila wao wakiongea wanakusanya Watu wengi

Nchi zingine za Afrika bado hajizachelewa Kuiiga Rwanda na hasa Kumuiga Rais wake Mahiri na bora kabisa Paul Kagame.
Hiyo ni kweli nimeiona hata jana pale Washington D.C. ndugu yangu!
 
Acha ujuaji ww mtoa mada.
Unasema Rwanda mfano wa kuigwa mbona licha yalockdown yao Bado maambukizi yanazidi kuongezeka kuliko nchi zote za EA, mpaka kagame ameamua kuongeza mda wa lockdown mpaka 19 April?

Unasema nchi zinaficha data sahihi, twambie wewe unayejua zilizokamili.

Tatzo upinzani wako umekuharibu akili.

Nyie ndo mnapenda kila siku kusikia idadi ya wagonjwa wameongezeka TanzaniA.

Kwa taarifa yako hakuna lockdown Tanzania na Mungu mkuu yupo juu ya ardhi hii sasa.

Mnatumwa na mabeberu

Mpk leo 02/04 Rwanda maambukizi ni watu 82,Kenya maambukizi ni 110.

Hebu tusaidie ku-justify statement yako ya 'Rwanda maambukizi yanazidi kuongezeka kuliko nchi yoyote ile EA'
 
Sawa, mbona kesi zinaongezeka? Mfano bora ni upi ? Kuweka watu ndani tu au kucontain the disease?
Bila dawa au chanjo kuvumbuliwa, nchi zote duniani zitafeli kumaliza hili tatizo.

So China imeshapata dawa/chanjo ya Corona sio mpk viwanda vyao vimefunguliwa na wananchi wameanza kurudia maisha yao ya kawaida.
 
Kuchekacheka Kama ngiri
Serikali ya Rwanda kupitia Rais wake imefanya yafuatayo..

1. Inawajali Wananchi wake mara kwa mara juu ya Ugonjwa
2. Inatoa Msaada wa Vyakula bure kabisa kwa Wananchi wake
3. Inatoa bure kabisa Vifaa vya Kujiinga na Ugonjwa kwa Wananchi wake
4. Waziri wake wa Afya hana Unafiki katika Kutoa Taarifa sahihi kwa Wananchi
5. Kwa Rwanda huu Ugonjwa siyo wa Aibu au wa Kuficha kwa Jumuiya ya Kimataifa
6. Viwanja vya Ndege na Mipaka yote Umakini umeongezeka na Kudhibitiwa
7. Imeunganisha nguvu na Jumuiya ya Kimataifa katika Kutafuta Suluhu ya Ugonjwa duniani

Serikali zingine duniani na Marais wao wamefanya yafuatayo

1. Wanaficha Taarifa za Wagonjwa kwa Wananchi wao
2. Marais wao wanajificha Kuuongelea wakidhani ni Ugonjwa la laana
3. Mawaziri wao wa Afya wakizungumza ni Kuchekacheka tu kama Ngiri na Mizaha mingi
4. Wananchi wao wanajazana hovyo hadi Kujambiana sana katika DalaDala
5. Wanajali sana Mapato ya Kodi kuliko kujua idadi ya Wagonjwa wanaoongezeka
6. Wanaficha Taarifa za Ugonjwa ila chini chini wanaomba Misaada ya Pesa WB
7. Viongozi wao wanakataza Mikusanyiko ila wao wakiongea wanakusanya Watu wengi

Nchi zingine za Afrika bado hajizachelewa Kuiiga Rwanda na hasa Kumuiga Rais wake Mahiri na bora kabisa Paul Kagame.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli kabisa ndio maana viongozi wengine Twitter zao zinafutwa hata wawe wakubwa kiasi gani kwa upotoshaji
Adjustments.jpg

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Katika hili ninampa kongole Rais Kagame.

Ni Mpumbavu tu pekee ndiyo anaweza akawa hamuelewi na pia hampendi Rais Kagame ila Mtu Mwerevu yoyote kama Wewe Mkuu na baadhi yenu ni lazima tu mtampenda kwa jinsi anavyoingoza vyema Rwanda na anavyopambana Kuwatumikia Wananchi wake huku akiwa halali akihangaika kutafuta Suluhu ya huu Ugonjwa wa COVID-19 ili awaokoe Wanyarwanda wote. Nimefurahi Kuona kumbe nawe unampenda na unamkubali sana Rais wa Rwanda Paul Kagame.
 
Hivi kwa nchi ndogo kama Rwanda hata kwa Kirikuu unazinguka nchi nzima na kugawa chakula sisi ndio Tukajifunze kwao kweli?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa ka nchi Kadogo kama gongo la moto kale.

Nashauri tufanye kama Canada tugawe $2,000 kila mwezi kwa miezi 4 kwa kila mwananchi aliyepoteza kazi sababu ya Corona, ili tuonyeshe sisi ni donor country na ni nchi kubwa EA.
 
Rwanda wanalalamika kua wanapewa kilo moja tu bila kuangalia idadi ya familia no mboga noo mkaa no chochote zaidi ya unga.

Sent using Jamii Forums mobile app

Wakati kuanzia leo kila Mnyarwanda anapewa Unga, Mchele, Sukari, Sabuni, Maziwa, Mkate, Vocha ya Simu, Kilo ya Nyama na Samaki kisha na Tsh 10,000/= ya Kutunza! Kwenu huko ( nchi uliyopo ) hali ikoje?
 
Sawa, mbona kesi zinaongezeka? Mfano bora ni upi ? Kuweka watu ndani tu au kucontain the disease?
Bila dawa au chanjo kuvumbuliwa, nchi zote duniani zitafeli kumaliza hili tatizo.

Rwanda inakaribia Kuudhibiti huu Ugonjwa. Wewe hapo nchini Kwako hali ipoje labda?
 
Rwanda kanchi kadogo kama piriton hata mimi nina uwezo wa kuwapa chakula wote mpaka rais wao.

Hujawahi Kumiliki Akili hata Siku moja hivyo sikushangai Kuandika huu Upuuzi wako hapa.
 
Acha ujuaji ww mtoa mada.
Unasema Rwanda mfano wa kuigwa mbona licha yalockdown yao Bado maambukizi yanazidi kuongezeka kuliko nchi zote za EA, mpaka kagame ameamua kuongeza mda wa lockdown mpaka 19 April?

Unasema nchi zinaficha data sahihi, twambie wewe unayejua zilizokamili.

Tatzo upinzani wako umekuharibu akili.

Nyie ndo mnapenda kila siku kusikia idadi ya wagonjwa wameongezeka TanzaniA.

Kwa taarifa yako hakuna lockdown Tanzania na Mungu mkuu yupo juu ya ardhi hii sasa.

Mnatumwa na mabeberu

Unaweza Kunionyesha kwa Ushahidi kabisa ni wapi katika huu Uzi wangu nimeitaja Tanzania yako? Hivi ni kwanini mnakuwa Wapumbavu ( Majuha ) hivi?
 
"Kila mtu ashinde mechi zake".nchi niliyopo tuna maambukizi 20 tu.kifo 1 na aliyepona 1.tunaomba wagonjwa wetu wapone.na Mungu atuongoze kuzuia maambukizi zaidi katika mihangaiko yetu ya kila siku.chakula tunajitafutia wenywewe .hayo mengine tunamuachia Mungu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom