Nchi ya Rwanda na Rais wake Paul Kagame wamekuwa mfano bora na wa kuigwa katika kupambana na COVID-19

Viva PK, sijawahi kukufagilia ila kwa hili la COVID-19 umekuwa wa kuigwa barani Africa. Wengine wanakubeza ni nchi ndogo ila wapuuzie, ukiweza kainchi kadogo basi hata likubwa unaimudu.
Serikali ya Rwanda kupitia Rais wake imefanya yafuatayo..

1. Inawajali Wananchi wake mara kwa mara juu ya Ugonjwa
2. Inatoa Msaada wa Vyakula bure kabisa kwa Wananchi wake
3. Inatoa bure kabisa Vifaa vya Kujiinga na Ugonjwa kwa Wananchi wake
4. Waziri wake wa Afya hana Unafiki katika Kutoa Taarifa sahihi kwa Wananchi
5. Kwa Rwanda huu Ugonjwa siyo wa Aibu au wa Kuficha kwa Jumuiya ya Kimataifa
6. Viwanja vya Ndege na Mipaka yote Umakini umeongezeka na Kudhibitiwa
7. Imeunganisha nguvu na Jumuiya ya Kimataifa katika Kutafuta Suluhu ya Ugonjwa duniani

Serikali zingine duniani na Marais wao wamefanya yafuatayo

1. Wanaficha Taarifa za Wagonjwa kwa Wananchi wao
2. Marais wao wanajificha Kuuongelea wakidhani ni Ugonjwa la laana
3. Mawaziri wao wa Afya wakizungumza ni Kuchekacheka tu kama Ngiri na Mizaha mingi
4. Wananchi wao wanajazana hovyo hadi Kujambiana sana katika DalaDala
5. Wanajali sana Mapato ya Kodi kuliko kujua idadi ya Wagonjwa wanaoongezeka
6. Wanaficha Taarifa za Ugonjwa ila chini chini wanaomba Misaada ya Pesa WB
7. Viongozi wao wanakataza Mikusanyiko ila wao wakiongea wanakusanya Watu wengi

Nchi zingine za Afrika bado hajizachelewa Kuiiga Rwanda na hasa Kumuiga Rais wake Mahiri na bora kabisa Paul Kagame.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwa napenda sana Kukutana na ' Members ' wenye Akili na Uelewa mkubwa hapa Jamvini ( JamiiForums ) kama Wewe vile.
 
SHWAIN WEWE, How big is India? Mbona waliweza kuuthibiti? M7 amethubutu, how big is Ug? Kenyata amethubutu, how big is Kenya? Pumbavu!

Sent using Jamii Forums mobile app

Safi sana Mkuu hebu dhidi Kumuelimisha huyo Mpuuzi na wapo wengi mno hapa ( katika Uzi ) wangu wamechangia Kipuuzi Kipuuzi hivyo hivyo. Wanyooshe Mkuu hadi waipigie Saluti Rwanda na Rais wake Paul Kagame.
 
Naona RWANDA NA KENYA LICHA YA LOCK DOWN ZAO NAMBA ZINAPAA.
ALLAH ATULINDE WATANZANIA INSHAAALLAAAH.
Hatuwezi kuvumilia njaa..
TUMAINI LETU NI KWAKE.
Umelazimishwa uishi Tanzania mkuu?nenda kaishi Rwanda

Sent using IPhone X
Screenshot_20200402-174656.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Serikali ya Rwanda kupitia Rais wake imefanya yafuatayo..

1. Inawajali Wananchi wake mara kwa mara juu ya Ugonjwa
2. Inatoa Msaada wa Vyakula bure kabisa kwa Wananchi wake
3. Inatoa bure kabisa Vifaa vya Kujiinga na Ugonjwa kwa Wananchi wake
4. Waziri wake wa Afya hana Unafiki katika Kutoa Taarifa sahihi kwa Wananchi
5. Kwa Rwanda huu Ugonjwa siyo wa Aibu au wa Kuficha kwa Jumuiya ya Kimataifa
6. Viwanja vya Ndege na Mipaka yote Umakini umeongezeka na Kudhibitiwa
7. Imeunganisha nguvu na Jumuiya ya Kimataifa katika Kutafuta Suluhu ya Ugonjwa duniani

Serikali zingine duniani na Marais wao wamefanya yafuatayo

1. Wanaficha Taarifa za Wagonjwa kwa Wananchi wao
2. Marais wao wanajificha Kuuongelea wakidhani ni Ugonjwa la laana
3. Mawaziri wao wa Afya wakizungumza ni Kuchekacheka tu kama Ngiri na Mizaha mingi
4. Wananchi wao wanajazana hovyo hadi Kujambiana sana katika DalaDala
5. Wanajali sana Mapato ya Kodi kuliko kujua idadi ya Wagonjwa wanaoongezeka
6. Wanaficha Taarifa za Ugonjwa ila chini chini wanaomba Misaada ya Pesa WB
7. Viongozi wao wanakataza Mikusanyiko ila wao wakiongea wanakusanya Watu wengi

Nchi zingine za Afrika bado hajizachelewa Kuiiga Rwanda na hasa Kumuiga Rais wake Mahiri na bora kabisa Paul Kagame.
Wanachekacheka!! We una lako tu!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna Rais wa Nchi Moja Kazikimbia Ikulu Kaenda kujificha Kwao
 
Naona RWANDA NA KENYA LICHA YA LOCK DOWN ZAO NAMBA ZINAPAA.
ALLAH ATULINDE WATANZANIA INSHAAALLAAAH.
Hatuwezi kuvumilia njaa..
TUMAINI LETU NI KWAKE.View attachment 1406782

Sent using Jamii Forums mobile app

Kuna nchi moja hapa hapa Afrika Mashariki ( nimeisahau Jina kwa sasa ) nasikia ina ' cases ' kama 1350 hivi za wenye COVID-19 na waliokufa hadi sasa ni zaidi ya 75 wanakimbilia 95 sasa. Na nasikia hiyo nchi ukitaka uwekwe ndani Wewe sema tu idadi Kubwa ya wenye COVID-19 utakiona cha Moto. Na hiyo nchi ilivyo ya Kishamba eti yenyewe inadhani kusema kuwa ina Maambukizi mengi ya COVID-19 ni aibu kwa Jumuiya ya Kimataifa ( Duniani )

Ni bahati mbaya sana hiyo nchi nimeisahau kwa Jina ila nikiikumbuka huko mbeleni katika huu huu Uzi wangu nitaitaja tu. Wenye Akili Kenya, Rwanda na Uganda wala hawafichi na wanaonyesha kweli kweli Juhudui zao katika Kupambana na COVID-19 na pia katika Kuwaokoa Watu ( Wananchi ) wao.

Sijui ni kwanini nimeisahau ghafla hiyo nchi. Naanza Kuzeeka ( Kukongweka ) sasa nadhani.
 
Hiyo nchi ja ajabu sana.wanakufa watu idadi hiyo na matanga mtaani hakuna.nahisi hao watu hawana ndugu kwenye hiyo nchi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
So China imeshapata dawa/chanjo ya Corona sio mpk viwanda vyao vimefunguliwa na wananchi wameanza kurudia maisha yao ya kawaida.
Umefuatilia new cases zao? Ugonjwa kule haujaisha, kwa taarifa yako unarudi tena. Cheki data za cases mpya.
 
Watanzania tusiache kumuomba mungu atatuvusha tuwaache hao wanaojiona wana nguvu wapambane kuishinda corona.
maana kama corona ikiamua kuua hapa TANZANIA.
Hakuna atakayeweza kutuokoa...
KIKUBWA TUENDELEE KUJILINDA NA KUCHUKUA TAHADHARI.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"Mawaziri wao wa Afya wakizungumza ni Kuchekacheka tu kama Ngiri na Mizaha mingi"

Hapo hata mimi ilinishangaza waziri anatoa taarifa akiwa anachekacheka kama anaongea na hawara yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom