Nchi ya Saudi Arabia Imeamrisha kupunguzwa kwa sauti ya Spika za adhana

Nchi ya Saudi Arabia Imeamrisha kupunguzwa kwa sauti ya Spika za adhana

Kuna Mwanajamiiforum humu ambaye kaandika heading yake kwa chuki sana kuhusu kuzuiwa kwa sauti za Adhana nchini Saudi Arabia, na inaonekana anachuki sana dhidi ya dini ya kiislamu. Kwa sababu ya ufahamu wake mdogo namfahamisha kuwa Kilichokatazwa ni kutumia sauti kubwa za spika ambalo sio jambo baya kwa wenye ufahamu mzuri wa dini , ambapo kutokana na hilo wameamrishwa wapunguze sauti za spika kiasi cha moja ya tatu ya sauti (one third of the full volume) wakati wa Adhana. Pia wakati wa Ibada wameamrishwa kutotumia spika za kutoa sauti nje ya msikiti, bali watumie spika za kusikika ndani ya msikiti tu kwa lengo la:

1. Kuondoa muingiliano wa sauti za usomaji wa Qur-an kutoka misikiti iliyokaribiana
2. Kuepusha kusikika kwa sauti za usomaji wa Qur an nje ya misikiti kwa sababu sio wote waliopo nje misikiti wanaosikiliza Quran hiyo.
3. Kuepusha usumbufu kwa wagonjwa na watu wengine (hasa wasiowaislamu) waliopo majumbani, n.k

Note: Hizo sababu zote zinakubalika kwa wenye uelewa mzuri wa dini ya kiislamu. Kutokana na hilo ndo maana baadhi ya misikiti hapa nchini Tanzania hutumia spika za kusikika nje kwa adhana tu na spika za kusikika ndani ya msikiti tu wakati wa swala.

=====​

Saudi minister defends volume limit on mosque loudspeakers​

Saudi Arabia’s Islamic affairs minister says the order was in response to citizens’ complaints about the loud volume of mosque speakers.

Saudi Arabia’s Islamic affairs minister is defending a contentious order restricting the volume of mosque loudspeakers, saying it was prompted by complaints about excessive noise.

In a major policy last week in a country home to the holiest Muslim sites, the Islamic affairs ministry said the speakers should be set at no more than one-third of their maximum volume.

The order, which also limited the use of loudspeakers mainly to issue the call to prayer rather than broadcasting full sermons, triggered a conservative backlash on social media.

Translation: Where is the disturbance in this! It brings nothing but peace and comfort. Give us back loudspeakers in mosques.
Islamic Affairs Minister Abdullatif al-Sheikh said on Monday the order was in response to citizens’ complaints that the loud volume was disturbing children as well as the elderly.
“Those who want to pray do not need to wait for … the imam’s” call to prayer, al-Sheikh said in a video published by state television.

“They should be at the mosque beforehand,” he added.

Several television channels also broadcast prayers and Quran recitals, Sheikh said, suggesting the loudspeakers served a limited purpose.

In a country home to tens of thousands of mosques, many welcomed the move to reduce the decibel levels.

But the decision also stirred resentment on social media, with a hashtag calling for the banning of loud music in restaurants and cafes gaining traction.

Sheikh said criticism of the policy was being spread by “enemies of the kingdom” who “want to stir public opinion”.

The policy follows de facto ruler Crown Prince Mohammed bin Salman’s sweeping liberalisation drive, which has pushed a new era of openness in parallel with what observers call a de-emphasis on religion.

The young prince has eased social restrictions in the ultra-conservative kingdom, lifting decades-long bans on cinemas and women driving while allowing gender-mixed attendance at music concerts and sporting events.

The relaxed social norms have been welcomed by many Saudis, two-thirds of whom are under 30, while riling ultra-conservatives.
MBS.jpg
Mohammed bin Salman at a graduation ceremony for cadets from the King Faisal Air Academy, Riyadh, Saudi Arabia, 2018 [Bandar Algaloud/Saudi Royal Court via Reuters]

‘Moderate’ Saudi Arabia​

Saudi Arabia has clipped the powers of its religious police, who once elicited widespread fear, chasing men and women out of malls to pray and berating anyone seen mingling with the opposite sex.

Prince Mohammed has promised a “moderate” Saudi Arabia as he attempts to break with its austere image, while simultaneously cracking down vigorously on dissent.
Over the past three years, the kingdom has arrested dozens of women activists, clerics, journalists as well as royal family members.

An unclassified US intelligence report concluded Prince Mohammed approved of and likely ordered the killing of Saudi journalist Jamal Khashoggi.

Khashoggi, a columnist for the Washington Post who wrote critically of the crown prince and his policies, was murdered by a team of Saudi agents in the kingdom’s consulate in Istanbul in October 2018. His dismembered body has never been recovered.

Ni vyema wamejali masilahi pia ya wengine
 
Kwetu waislam, umuhimu wa adhana uko palepale kuwe na saa liwake jua lisiwake iwe usiku iwe mchana iwe kiangazi iwe masika, adhana iko palepale, bali naunga mkono marekebisho ya sauti pamoja na vipaza sauti kutumika vya ndani tu kipindi ibada ya swala inaendelea ndani ya mosque.
Shukran AbuuZakariyya. Nashukuru ile thread iliyokuwa na dalili za chuki imefutwa
 
Ndio maana nawakubali walokole , mkipiga adhana alfajir wao wanapiga kelele uck kucha , ngoma draw
 
Kaka isikilize vizuri. Khasa alipoulizwa shk. Fauzaan. Haikuguswa adhana. Bali iqaama na qiraa wakati wa swala
Mi nilichoelewa ni kwamba Adhana na iqama vinaruhusiwa kusikika but kwa one third of the full volume kutokana na wingi wa misikiti iliyopo nchini Saudi Arabia. Lakini kisomo cha Qur an na swala kwa ujumla visikike ndani ya misikiti tu.

Ushahidi kwa Kingereza:
Dubai: Saudi Arabia’s Ministry of Islamic Affairs has imposed restrictions on the use of loudspeakers in mosques, allowing the use of loudspeakers only for calls for prayers (Azan) and Iqamat.
A circular has been issued by Abdul Latif Al Sheikh, Saudi Minister of Islamic Affairs, to all mosques across the Kingdom, to limit the use of loudspeakers only for Azaan and Iqama and lower the volume of loudspeakers to one-third level.

Azan is the first call for prayer, while Iqamat is the second call for prayer, indicating the Imam has taken his place facing towards the Kaaba and the Prayer is about to commence.
The circular is based on Prophet Mohammed’s (PBUH) Hadith in which he said: “Lo! every one of you is calling his Lord quietly. One should not trouble the other and one should not raise the voice in recitation or in prayer over the voice of the other.”
The rule is also based on fatwas by most senior Islamic scholars like Sheikh Mohammed bin Saleh Al Othaimeen and Saleh Al Fawzan, that loudspeakers in mosques should only used for Azan and Iqamat.

Ndio maana nawakubali walokole , mkipiga adhana alfajir wao wanapiga kelele uck kucha , ngoma draw
Ila Walokole nao kiboko, yaani wanaweza wakaacha kufanya ibada yao ndani ya Kanisa,alafu wakatoka nje na kufanya ibada! Sasa Kanisa walijenga la nini Kama wanapenda kufanya ibada zao nje!?
 
Shamba la bwana Heri na mbuzi ni wa bwana Heri
Nalog off
 
Mamlaka husika mmesikia wenye dini yao wameshasema sio huku kwetu asubuhi adhana na maneno ya kutishana sijui hicho kitanda ndio jeneza lako mara hili mara lile. na huku haya makanisa ya mabati wapuuzi sana kelele mtindo mmoja hakuna amani kbs wanadhani wote ni waumini wa kukanyaga mafuta na kunena kwa lugha.
 
Ngoja waje waisrael wa mwakaleli hapa ndo utajua kilimtoa kanga manyoya ya shingo
 
Basi inaonekana haukuwa na nia ya kufanya ibada, kisa hakuna adhana!!
Ungekuwa unaswali ndio ungemuelewa kwa sababu mnashindwa kuelewana kutokana na kwamba wewe unazungumzia kinadharia na jamaa anakujibu kwa experience ya jambo lenyewe lilivyo.
 
Hapo ndipo napomkubali bin Salman hana ule uislamu wa mpaka unajitoa utu na kubakia gaidi lililokubuhu.
Kwani kuna uislamu wa aina mbili? kama unaona uislamu ni ugaidi basi shikilia hapo hapo na sio kuanza kuuugawa makundi mawili.
 
Watu wanaoishi kilwa wana tabu sana. Kila baada ya nyumba kadhaa kuna msikiti. Ikifika muda wa adhana kila msikiti unapiga adhana. Hii ni fujo na ni usumbufu kwa watu ambao sio waislam. Badilikeni.

Navyofahamu mimi, adhana ilikuwa kwa ajili ya kuwaita watu kwenye swallah. Wakati huo saa ilikuwa ni kitu adimu. Lakini kwa sasa kila mtu anayo saa, iwe mkononi au kwenye simu. Aweke alarm, ukifika muda aende msikitini kuswali. Haya mambo ya kutupigia kelele saa kumi usiku watu tumelala ni kutusababishia usumbufu. Achaneni na adhana kila mwislam anajua wajinu wake na muda wa swala anaujua. Msitusumbue na kelele zenu.
Kilwa masoko au kivinje
 
Hivi hawa wa huku ni masheikh au maimamu? au imamu huyo huyo anaweza kuwa sheikh?
 
Ila Walokole nao kiboko, yaani wanaweza wakaacha kufanya ibada yao ndani ya Kanisa,alafu wakatoka nje na kufanya ibada! Sasa Kanisa walijenga la nini Kama wanapenda kufanya ibada zao nje!?
Hahahaaaa
 
Back
Top Bottom