Nchi ya Saudi Arabia Imeamrisha kupunguzwa kwa sauti ya Spika za adhana

Ni vyema wamejali masilahi pia ya wengine
 
Shukran AbuuZakariyya. Nashukuru ile thread iliyokuwa na dalili za chuki imefutwa
 
Ndio maana nawakubali walokole , mkipiga adhana alfajir wao wanapiga kelele uck kucha , ngoma draw
 
Kaka isikilize vizuri. Khasa alipoulizwa shk. Fauzaan. Haikuguswa adhana. Bali iqaama na qiraa wakati wa swala
Mi nilichoelewa ni kwamba Adhana na iqama vinaruhusiwa kusikika but kwa one third of the full volume kutokana na wingi wa misikiti iliyopo nchini Saudi Arabia. Lakini kisomo cha Qur an na swala kwa ujumla visikike ndani ya misikiti tu.

Ushahidi kwa Kingereza:
Dubai: Saudi Arabia’s Ministry of Islamic Affairs has imposed restrictions on the use of loudspeakers in mosques, allowing the use of loudspeakers only for calls for prayers (Azan) and Iqamat.
A circular has been issued by Abdul Latif Al Sheikh, Saudi Minister of Islamic Affairs, to all mosques across the Kingdom, to limit the use of loudspeakers only for Azaan and Iqama and lower the volume of loudspeakers to one-third level.

Azan is the first call for prayer, while Iqamat is the second call for prayer, indicating the Imam has taken his place facing towards the Kaaba and the Prayer is about to commence.
The circular is based on Prophet Mohammed’s (PBUH) Hadith in which he said: “Lo! every one of you is calling his Lord quietly. One should not trouble the other and one should not raise the voice in recitation or in prayer over the voice of the other.”
The rule is also based on fatwas by most senior Islamic scholars like Sheikh Mohammed bin Saleh Al Othaimeen and Saleh Al Fawzan, that loudspeakers in mosques should only used for Azan and Iqamat.

 
Ndio maana nawakubali walokole , mkipiga adhana alfajir wao wanapiga kelele uck kucha , ngoma draw
Ila Walokole nao kiboko, yaani wanaweza wakaacha kufanya ibada yao ndani ya Kanisa,alafu wakatoka nje na kufanya ibada! Sasa Kanisa walijenga la nini Kama wanapenda kufanya ibada zao nje!?
 
Shamba la bwana Heri na mbuzi ni wa bwana Heri
Nalog off
 
Mamlaka husika mmesikia wenye dini yao wameshasema sio huku kwetu asubuhi adhana na maneno ya kutishana sijui hicho kitanda ndio jeneza lako mara hili mara lile. na huku haya makanisa ya mabati wapuuzi sana kelele mtindo mmoja hakuna amani kbs wanadhani wote ni waumini wa kukanyaga mafuta na kunena kwa lugha.
 
Ngoja waje waisrael wa mwakaleli hapa ndo utajua kilimtoa kanga manyoya ya shingo
 
Basi inaonekana haukuwa na nia ya kufanya ibada, kisa hakuna adhana!!
Ungekuwa unaswali ndio ungemuelewa kwa sababu mnashindwa kuelewana kutokana na kwamba wewe unazungumzia kinadharia na jamaa anakujibu kwa experience ya jambo lenyewe lilivyo.
 
Hapo ndipo napomkubali bin Salman hana ule uislamu wa mpaka unajitoa utu na kubakia gaidi lililokubuhu.
Kwani kuna uislamu wa aina mbili? kama unaona uislamu ni ugaidi basi shikilia hapo hapo na sio kuanza kuuugawa makundi mawili.
 
Kilwa masoko au kivinje
 
Hivi hawa wa huku ni masheikh au maimamu? au imamu huyo huyo anaweza kuwa sheikh?
 
Ila Walokole nao kiboko, yaani wanaweza wakaacha kufanya ibada yao ndani ya Kanisa,alafu wakatoka nje na kufanya ibada! Sasa Kanisa walijenga la nini Kama wanapenda kufanya ibada zao nje!?
Hahahaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…