Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
Good afternoon JamiiForums
Picha rasmi ya Rais ni lazima iwekwe upande wa kushoto na picha ya mumewe upande wa kulia. Picha zote mbili zinapaswa kutengenezwa na kutundikwa sambamba (pair) na kwa urefu unaolingana katika ofisi za umma na binafsi.
Ikiwa nembo ya taifa inapaswa kuwepo ofisini hapo kwa mujibu wa sheria zao, basi inapaswa kuwekwa kati ya picha hizo mbili, na sehemu yake ya juu kuwa sambamba na urefu wa picha hizo.
Hakuna picha au nembo nyingine yoyote inayopaswa kuwekwa juu au pembeni mwa picha hizo mbili. Umbali kati ya picha hizo mbili, au kati ya nembo ya taifa na picha hizo ni hiyari tu ya ofisi husika na halipo kwenye kanuni.
NOVEMBER 2017: The official portraits of President Halimah Yacob and her husband Mohamad Abdullah Alhabshee are available for collection for use at public places such as schools and government buildings.
The unframed portraits will be provided at no cost. The official government website said the portraits must be displayed as a pair, with Madam Halimah's portrait on the left.
ANGALIZO: Tanzania sio Singapore. Sisi Tanzania kama nchi huru tuna taratibu zetu za maisha na namna nzima ya kujiendesha kama taifa kulingana na sheria, kanuni na taratibu zetu na wao Singapore wanazo za kwao.
Pia ikumbukwe sio kila jambo zuri ni la kuiga. SIO KILA JAMBO ZURI NI LA KUIGA LAKINI SINGAPORE WAMEJUA KUIFURAHISHA NAFSI YANGU.
USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.