Lambardi
Platinum Member
- Feb 7, 2008
- 18,813
- 21,830
Imo hiyoooo pia kuachana pia imoRais msela duuuh?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imo hiyoooo pia kuachana pia imoRais msela duuuh?
Rais kuachana na mwenza wake wakiwa bado madarakani? Princess Diana aliachana na Prince Charles akaanza ku-date na mwarabu wa Misri, kipi kilimkuta?Imo hiyoooo pia kuachana pia imo
Jamaa yupi?Kwanza huyo jamaa ana wake wengi ,
Mkuu nilikuwa kinara wao wa utoro enzi hizo za Masawe pale Jite, nimeona nikumbuke tunzo yangu.Mkuu ID yako imenifurahisha sana
Enzi za Massawe, academic master alikuwaga afande Mkisi. Au nimekosea mkuu?Mkuu nilikuwa kinara wao wa utoro enzi hizo za Masawe pale Jite, nimeona nikumbuke tunzo yangu.
Ashtakiwe kwani amefanya nini mkuu?Je Rais wao nao hashitakiwi kama huku?
Mwalimu nani?Picha ya Mwalimu kwanza inatosha kabisa zingine zote ziondolewe
NyerereMwalimu nani?
Sasa Nyerere anahusika vp na Singapore?Nyerere
Naongelea bongo, waondoe picha zote ibaki ya NyerereSasa Nyerere anahusika vp na Singapore?
OkayNaongelea bongo, waondoe picha zote ibaki ya Nyerere