Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Hasa kutokana na historia ya Ujerumani. Ujerumani ni kama muunganiko wa vikingdoms vidogo vidogo vingi ambavyo kila kimoja kilikuwa na kama mji mkuu wake. Hiyo miji ilikuwa ya maana na imekuwa hivyo hadi leo.Hittler ndio alipanga hivyo since then
Sherauts to NAZI
Nchi inakaa vizuri sana. JKN naye alipambana sana mambo yote mazuri ya nchi yasiwe sehemu moja.Maisha mazuri Sana
Nchi inakaa vizuri sana. JKN naye alipambana sana mambo yote mazuri ya nchi yasiwe sehemu moja.
Ndo ivo mkuu, kwa sisi kua kama hao sio rahisi.Hasa kutokana na historia ya Ujerumani. Ujerumani ni kama muunganiko wa vikingdoms vidogo vidogo vingi ambavyo kila kimoja kilikuwa na kama mji mkuu wake. Hiyo miji ilikuwa ya maana na imekuwa hivyo hadi leo.
Baada ya muungano!Kabla ya muungano au baada ya Muungano?
Na wapoishi makabwela wenzangu na Sisi njaa kali milo mitatu kwa mbinde ni wapi Augsburg, Wolfsburg, Stuttgart, Werder Bremen, Bayern Leverkusen, au Borussia Monchengladbach?Bandari kubwa Ujerumani ni Hamburg. Mji mkuu ni Berlin. Mji wa mkuu wa kifinance ni Frankfurt. Mji/miji mikuu ya viwanda ni eneo lenye miji ya Dortmund, Dusseldorf, Cologne. Huko ndiko kuna viwanda vingi, watu wengi na mabilionea. Mji wa kitalii, kitajiri na watu kuishi poshy lifestyle ni Munich. Huu mgawanyo unafanya nchi iwe vizuri sana.
Hapa nimekuelewa sana 'mababu na mazee yasiyotaka kubadirisha mifumo'Huku yale mababu na mazee yasiotaka kubadilisha mifumo yakisinzia serikalini.
Tz miaka 60 baada ya uhuru na kitu ,bado wanajenga makao ya nchi kule jangwani
Mpaka leo ndio tunatenga makao makuu ya nchi yaani baada ya miaka zaidi ya 60 😳😳Makao makuu ya nchi hayaangalii kigezo kimoja tu km wewe ulivyoegemea kuwa dodoma ni semi desert
Kuna vigezo vingi
Jangwa sio kigezo kumbuka dubai ni jangwa mara tatu zaidi ya dodoma ila mamegeuza kuwa miongoni mwa majiji ya kitalii duniani
Ukienda china sasa ndio utashangaa zaidNchi nyingi duniani utasikia kuna jiji moja tu ambalo ndiyo kila kitu kwa nchi. Unakuta jiji la pili kwa umuhimu kwenye hiyo nchi linafuata kwa mbali sana. Mtu akisikia UK anawaza London. Mtu akisikia France anawaza Paris. Tanzania anawaza Dar es Salaam. Ujerumani ni tofauti kabisa. Kila mji ni mbabe kwenye eneo lake.
View attachment 2946004
Bandari kubwa Ujerumani ni Hamburg. Mji mkuu ni Berlin. Mji wa mkuu wa kifinance ni Frankfurt. Mji/miji mikuu ya viwanda ni eneo lenye miji ya Dortmund, Dusseldorf, Cologne. Huko ndiko kuna viwanda vingi, watu wengi na mabilionea. Mji wa kitalii, kitajiri na watu kuishi poshy lifestyle ni Munich. Huu mgawanyo unafanya nchi iwe vizuri sana.
UkweliNchi inakaa vizuri sana. JKN naye alipambana sana mambo yote mazuri ya nchi yasiwe sehemu moja.