Nchi ya Uongo: Mpaka leo hakuna mwalimu amepewa kishkwambi

Nchi ya Uongo: Mpaka leo hakuna mwalimu amepewa kishkwambi

Hii nchi bhana!

Yaani zoezi likazinduliwa kwa mbwembwe na matangazo mengi, tena na Waziri Mkuu wa nchi lakini hadi leo hii hakuna mwalimu amepewa kishkwambi mpaka shule zinafungwa! Hakika hii nchi raha sana.
 
Attachments

  • F6F5D194-28C2-4060-BD2A-771ABD00FCC7.gif
    F6F5D194-28C2-4060-BD2A-771ABD00FCC7.gif
    577.2 KB · Views: 5
Hii nchi bhana!

Yaani zoezi likazinduliwa kwa mbwembwe na matangazo mengi, tena na Waziri Mkuu wa nchi lakini hadi leo hii hakuna mwalimu amepewa kishkwambi mpaka shule zinafungwa! Hakika hii nchi raha sana.
Code:
Screenshot_20221212-112219.jpg
 
Hii nchi bhana!

Yaani zoezi likazinduliwa kwa mbwembwe na matangazo mengi, tena na Waziri Mkuu wa nchi lakini hadi leo hii hakuna mwalimu amepewa kishkwambi mpaka shule zinafungwa! Hakika hii nchi raha sana.
Vipi la anwani za makazi, yaani hii nchi basi tu aliyeilaani atakuwaa dawa alitupa mtoni ikaishia baharini.
Tunakurupuka kweli kweli na upigaji mwingi
 
Piki piki tu zilikuwa zimekaa mpaka waziri mkuu alipowapiga biti ndo zikaanza kugaiwa.
 
Yaani waache kuvirudisha kariakoo kuuza wawape walimu ili iweje? walimu wao ni fungu la kukosa wanasubiri waje wawadanganye na ajira za muda za uchaguzi , na mambo yatakwenda tu hamna shida
 
Itakuwa walimu wamefanywa ngazi, kuna watu wamejipimia kamba kwenye vishikwambi.......
 
Nasikia Kuna shule Ina walimu 23 imeletewa vishikwambi 7 tu,
😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom