Mlalamikaji daily
JF-Expert Member
- May 19, 2014
- 744
- 1,621
Kila Mtu anachukua points tatu muhimu Kwa walimuVipo kwenye halmashauri....wapigaji wanatafuta namna ya kuvipiga
Either wanyofoe spear original au waviuze kisha watafute sababu za kuwazurumu walimu maana wao ni wa kupigwa tu siku zote (underdogs)
Hii nchi bhana!
Yaani zoezi likazinduliwa kwa mbwembwe na matangazo mengi, tena na Waziri Mkuu wa nchi lakini hadi leo hii hakuna mwalimu amepewa kishkwambi mpaka shule zinafungwa! Hakika hii nchi raha sana.
Kweli na ambavyo wanakaa kimya ndiyo kabisa wananyongwa na kwa wingi wao watu wanajivunia mamilioni watakavyo.....Kila Mtu anachukua points tatu muhimu Kwa walimu
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Hao wahanga wa mpwayungu village na wao wamekimya tu na wanaona wanadhulumiwa
Hii nchi bhana!
Yaani zoezi likazinduliwa kwa mbwembwe na matangazo mengi, tena na Waziri Mkuu wa nchi lakini hadi leo hii hakuna mwalimu amepewa kishkwambi mpaka shule zinafungwa! Hakika hii nchi raha sana.
Vipi la anwani za makazi, yaani hii nchi basi tu aliyeilaani atakuwaa dawa alitupa mtoni ikaishia baharini.Hii nchi bhana!
Yaani zoezi likazinduliwa kwa mbwembwe na matangazo mengi, tena na Waziri Mkuu wa nchi lakini hadi leo hii hakuna mwalimu amepewa kishkwambi mpaka shule zinafungwa! Hakika hii nchi raha sana.