Nchi yako ya ndoto unayotamani kwenda ni ipi?

Nchi yako ya ndoto unayotamani kwenda ni ipi?

Ni nchi gani kati ya hizi unazotamani sana kwenda kutembea au kuishi ungekuwa na uwezo?

  • Marekani

    Votes: 3 23.1%
  • China

    Votes: 2 15.4%
  • Japan

    Votes: 2 15.4%
  • Uingereza

    Votes: 1 7.7%
  • Brazil

    Votes: 0 0.0%
  • Australia

    Votes: 0 0.0%
  • Ujerumani

    Votes: 2 15.4%
  • Ufaransa

    Votes: 1 7.7%
  • Urusi

    Votes: 1 7.7%
  • Israel

    Votes: 1 7.7%

  • Total voters
    13
  • Poll closed .
Germany nikaangalie bundesliga nijifunze mambo madogo madogo ya kibiashara Kisha nirejee kizimkazi
 
Japan kufanya nini nyie watu??
Nashangaa China haijapata kura aisee wanafiki nyie watu..

Twenzetu kwa Biden.
 
Hakuna nchi za Africa? Kwamba watu wote wanawaza kwenda Ulaya na Amerika tu? Brainwash is real.
"Nchi za nje ziko nyingi lakini kiwanja ni Kimoja tu" - Bufa
 
Nitue pale kwa Putin nipate na picha safii kabisa pale Kremlin. Nije wahadithia wajukuu zangu
 
Bado nitaichagua Tanzania ama Tanganyikia.

Ila ardhi ninayo wish kuikanyaga ni nepal na Panama.
 
Kiwanja ni kimoja - USA 🇺🇸🇺🇸🇺🇸
Hahaha so stop acting like you are so considerate of all other People's choices when it comes to their dream countries 😃😃
 
Lebanon,nikavae lemba jeupe au leusi kama mashia.
 
Back
Top Bottom