JE INAWEZEKANA KUAHURU KIUCHUMI
Uchumi ni jumla ya shughuli zote za binadamu zinazolenga kutosheleza mahitaji yao.
Huru wa Kiuchumi ni uwezo wakua huru katika shughuli za uzalishaji kwaajiri ya kutosheleza mahitaji yao.
Ni hasa uzalishaji, usambazaji na utumiaji wa bidhaa pamoja na kutolewa kwa huduma kwa njia mbalimbali.
Nchi angu ni moja ya nchi inayosemekana ni maskini lakin hajabu nikwamba Mungu katubaliki kwa Vitu vingi Madini, Maziwa,mbuga za wanyama,bahari,ardhi yenye rutuba,mito. Ili na sisi tuwekatika nchi Tajiri duniani tunaitaju kufanya mapinduzi ya hali ya juu.
NINI KUHUSU NCHI YANGU?
Nchi angu ni nchi Huru, ilipata huru miaka sasa ni zaidi 60 inawakazi zaidi ya millioni 50,
Inaukubwa hekari 13500000,Tuna hifadhi za taifa 16 tukiwa na (THE BIG FiVE) wanyama wakubwa watano duniani,tuna ndege ambao dunia nzima wapo apa tu,Tuna chura amba dunia nzima hawapo,ila kwetu.mito mingi sana ikiwemo Rifiji, Maziwa kama Victoria. Tuna Madini mengi sana.
1.Dhahabu
2. Almas
3. Gas
4. Uranium
5. Mafuta
6. Makaa ya mawe
7. Tanzanite
8. Chuma
9.chumvi
Tuna bahari ya indi,ambayo pia tunavisiwa vitatu vikubwa.
JE NI MAPINDUZI GANI YANATAKIWA KIFANYIKA?
Mapinduzi ya kifkra: Sisi kama wananchi tunaitaji tubadili fikra zetu ,atuwezi kua tuna peleka malighafi njee kama tunataka kukua Kiuchumi,Lazima tuwafundishe watoto wetu rushwa akiwa toka shule ya msingi mpaka vyuo kupiga vita rushwa.pia Matumizi mabovu ya madaraka ,lazima watu wawe wazalendo kwaajiri ya nchi yao.
Mapinduzi ya viwanda: Ilitufike katika Uchumi wajuu lazima tutengeneze viwanda vyetu, bora na sio bora kiwanda,ambavyo vitaingia katika soko la uzalishaji wa Dunia
Mapinduzi ya Mikataba: Lazima tupitie upya mikataba yetu yote maana wasomi wapo wengi ilikuondoa mapingufu ya io mikataba mfana ,unaweza ukakuta mwenye mali anachukua asilimia 35% mwekezaji asilimia 65%. Tunataka kama wawekezaji wakija asilimia iwe 50 pande zote.
Mapinduzi ya Kikatiba: Tunatakiwa kulekebisha kutunga na kuongeza baadhi ya vitu katika katiba ili nchi iweze kuwa katiba imara na Yenye nguvu.
Mapinduzi ya Kisiasa: Siasa zetu zibadilike ziwe maendeleo natena sio za maneno.Tunatakiwa kua tunasimamia sele moja adi ikamilike kwa mda.
Mapinduzi ya kitekinologia: Tunaitaji kubadilika.Tutumie tekinolojia katika kukuza uchumi wa nchi yangu .matumizi ya mitambo yakikasa,vifaa vya kisasa pia ni muhimu katika kila nyanja.
NINI SERIKALI IFANYE?
Kama Taifa letu linatakiwa kutoa mikopo yakutosha kwa wananchi kwaajiri ya watu kufanya biashara bora,zenye tija.
Tunaweza Kutengeneza Soko bora Dunia ya Madini kwa kununua madini nchini na nchi za pembezoni nakua na akiba kubwa ambayo wanunuzi wanaweza kununua kwenye soko letu ,ambalo pia linaweza kufanyika nchini kwetu.
Tuna gesi na mafuta tunaweza tukaweka nunua mitambo ya Kuchimba mafuta pia na gesi hii zote zikawa chini ya serikari yetu. Ata kama niwawekezaji waeke asilimia ya faida serikali.
Tunaweza nunua meli bora za kufanya uvuvi bahari na ziwani zikawa chini ya Nchi Yetu, ambayo itafanya uvuvi katika bahari nakuvua samaki wa huakika.ambao tunaweza peleka soko la dunia.
Serikali inaweza saidia wananchi kwa kutoa pampu za maji , kwaajiri ya kilimo cha umwagiriziaji maaana tuna mashamba makubwa sana ambayo yanarutuba yakutosha.kilimo cha umwagiliaji kinaitaji kiwe Bora na cha kisasa, machine za kisasa na mbegu bora .zenye kustahimili kiangazi.hii inaweza kutu fanya pia kuzalisha chakula chakutosha ata kuuzia shirika la chakula duniani kwaajiri ya mataifa yenye njaa.
Tunaweza kufanya Ufugaji bora na wakisasa tukawa tunaweza peleka usindikaji wa nyama katika soko la dunia, pia tunaweza zalisha vitu vingi vitokanavyo na mifugo ngozi,maziwa kwato, pembe, nyama.
Tunawakandarasi Aina haja kuweka taifa lingine kitutengenezea barabara zetu kwanini sisi tusitengeneze wenyewe ,serikari nikununua tu vifaaa kwaajiri ya watu wanaoanzisha makampuni ya ya ujenzi.
Tufungue kalarakana zetu za Jeshi tutengeneze silahaa zetu wenyewe tuimarishe jeshi letu atuwezi tegemea silahaa kutoka njee ya nchi ili tuweze kua na jeshi bora duniani. Tukiweza kua tunatengeneza silahaa zetu amna ata watu wakututetemesha ki vita wala majeshi.pia itakua kama biashara kwa nchi jirani.na majeshi jilani.
Pia Serikali kusomomesha wataaramu tuweze fungua viwanda vya kutosha vya madawa na vifaa tiba ,ili nchi iwesalama lakini pia kama biashara kwa mataifa ya jirani kuwauzia madawa na vifaa tiba.
Ifiki wakati sisi kama Taifa Tuweze fanya mambo bila msaada na sisi ifike wakati tu saidie mataifa Mengine, Mambo yetu yote Tusimame bila wao.
Ifike mahali sisi tusimame kama nguzo moja nguvu moja tupambane zidi ya Umaskini. Tunanjia nyingi ambazo zinaweza fanya uchumi kupanda bila kigusa wananchi.
Hii nchi inaweza kuendelea kama tutakua na mikakati imara, Hakuna nchi duniani ilioko uchumi wajuu kama awakufanya ayo mapinduzi.
Mapinduzi ni mabadiliko na mabadiliko ni maamuzi ya mtu na watu.Sisi kama Taifa tunaitaji kibadilika kwenye nyanja nyingi.
Wananchi masikini wanatakiwa awezeshwe kuichumi na serikali yao ili baadae walipe kodi ya kutosha kwa serikali. Kila kitu ni mipango na maamuzi ya kufanya ili kifika katika kiwango cha juu.
Pia nikuanzisha nakuboresha vyombo vya kupambana na rushwa ili pia kuwe kwandani kuna kamati ya kupeleleza viongozi au watu wajuwala rushwa.adhabu kali pia zitolewe juu ya rushwa.
Pamoja tunaweza, ukisubiri kufanyiwa utakufa atuja fika mahari tunaitaji. Ni jambo moja tu kuamua na kutenda.
Natumaini kwa baazi ya hivyo vitafanya mapato kuongezeka Serikali kuu.
By Kayombo09

Mapinduzi ya elimu: Tunatakiwa kua na mapinduzi ya elimu tubadili mitaara maaana ajila hakuna sasa vijana wakitoka olevel waende vyuo vya ufundi wa kujufunza mitambo,jinsi yakutengeza simu,gari,pikipiki.Yani tuanzishe Vyuo bora vya Ufundi Africa.ili kila kijana aweze kua akimaliza hajiajiri kwenye fani hio kuliko Kusomesha wanafunzi vyuo vikuu kwa gharama mikopo mingi wakimaliza hawana ajiri nani analipa hio Mikopo wengine wanakufa awajalipa kibisa.

Upvote
2