Lord OSAGYEFO
JF-Expert Member
- Feb 19, 2021
- 3,085
- 4,890
Hata hii Post yako ni connection?Hii nchi ngumu sana kila kitu hadi uwe na connection.
Kabisa nimekaa Zaidi ya wiki bila BanHata hii Post yako ni connection?
Mengine tunailaumu CCM bure, hii ni akili mbovu ya OCD husika kujioendekeza Kwa DC aonekane na yeye ana mamlaka. Haya ni maagizo ya DC moja Kwa moja wala Polisi wote hawana Uzuzu wa Aina hii.Hakika Nchi yangu Ngumu sana
CCM Wanafanya Mikutano bila hata Kibali cha Polisi
Vyama vya Upinzani pamoja na kutii Sheria bila Shuruti lakini Wanakatazwa kufanya Mikutano.
Nchi yangu kweli Demokasia HATUIJUI na TUNAIOGOPA
View attachment 2025893
Hii ndio ilikuwa nafasi ya msajili was vyama kuwaandikia hawa waliojibu.Mengine tunailaumu CCM bure, hii ni akili mbovu ya OCD husika kujioendekeza Kwa DC aonekane na yeye ana mamlaka. Haya ni maagizo ya DC moja Kwa moja wala Polisi wote hawana Uzuzu wa Aina hii.