Nchi yangu ngumu sana. Demokrasia hatuijui na tunaiogopa

Nchi yangu ngumu sana. Demokrasia hatuijui na tunaiogopa

Lord OSAGYEFO

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2021
Posts
3,085
Reaction score
4,890
Hakika Nchi yangu Ngumu sana
CCM Wanafanya Mikutano bila hata Kibali cha Polisi

Vyama vya Upinzani pamoja na kutii Sheria bila Shuruti lakini Wanakatazwa kufanya Mikutano.

Nchi yangu kweli Demokasia HATUIJUI na TUNAIOGOPA

20211128_093822.jpg
 
Hii nchi ngumu sana kila kitu hadi uwe na connection.
 
Hakika Nchi yangu Ngumu sana
CCM Wanafanya Mikutano bila hata Kibali cha Polisi

Vyama vya Upinzani pamoja na kutii Sheria bila Shuruti lakini Wanakatazwa kufanya Mikutano.

Nchi yangu kweli Demokasia HATUIJUI na TUNAIOGOPA

View attachment 2025893
Mengine tunailaumu CCM bure, hii ni akili mbovu ya OCD husika kujioendekeza Kwa DC aonekane na yeye ana mamlaka. Haya ni maagizo ya DC moja Kwa moja wala Polisi wote hawana Uzuzu wa Aina hii.
 
Kwa hiyo Tanzania kuna tishio la ugaidi. Tumezoea balozi za nje zikitoa tahadhari sasa ni kamanda wa polisi na hata si waziri.
Tena kwa barua official na mhuri wa serikali. Na mtu ambaye si msemaji wa serikali tena mdogo tu kwa jambo kibwahivi.This is terrible!!!!!

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 
Mengine tunailaumu CCM bure, hii ni akili mbovu ya OCD husika kujioendekeza Kwa DC aonekane na yeye ana mamlaka. Haya ni maagizo ya DC moja Kwa moja wala Polisi wote hawana Uzuzu wa Aina hii.
Hii ndio ilikuwa nafasi ya msajili was vyama kuwaandikia hawa waliojibu.
Kama kweli kuna ugaidi ilitakiwa OCD apeleke ulinzi mahali pa tukio.
Kushauri kama nikujiandikisha kwa kidigital watafute njia nyingine,sasa watafikaje kituoni bila kukusanyika.

Hii mbegu inayopandwa kinyume na sheria itakuja kutuumiza sana.
Hii mikusanyiko na ugaidi ina angalia upande mmoja tu?
Mbona watu wanakusanyika kliniki na mahospitalini.
Wenye mamlaka acheni mbegu ya ubaguzi kisiasa na ukanda.
Tayari imeshaota,matawi yakisambaa kuyapuruni itakuwa ngumu.
 
Back
Top Bottom