Wilson Gamba
JF-Expert Member
- Mar 1, 2013
- 808
- 878
Habari wanajf?
Ifikie hatua hii nchi iweke namna ya kudili watu wanaoihujumu nchi yetu siyo Kila Mara ripoti ya CAG iwe inasononesha watu mitima yao.
Kuna watanzania wana matatizo mengi Ila wanajitoa kuchangia Kodi kwa ajili ya maendeleo ya nchi yao alafu wajanja wachache ambao wameaminiwa hao hao Ndo wanatuangusha.
Hii Tabia itafutiwe tiba mapema vinginevyo itadidimiza maendeleo ya nchi yetu.Sijui Hawa viumbe watajibu Nini mbee za mungu?
Hawa watu hata hawana huruma kabisa, Mama ninaomba sana wawajibishwe na pia warudishe hizo walizokwapua ikithibitika wafilisiwe kabisa. Niishie hapo maana Kuna watu wapo kwenye mfungo wa kwaresima na ramadhani.
Siku njema