nzagambadume
JF-Expert Member
- Apr 9, 2018
- 2,430
- 5,787
Dunia nzima imeshangazwa na jinsi chama hiki kinavyobadilika kisayansi haswa awamu ya tano,wako vizuuuri mnoooo,haijapata kutokea yaanisiasa bila wapinzani hazinogi.
Huku kwetu ccm wanajilazimisha kucheza ngoma lakini wapiii.
Mhhhh makubwaHahahaha Mkuu yaani nimecheka sana kwa kweli,kuwa mwanachama wa CCM inahitaji moyo mgumu zaidi ya paka na kutokubali kutumia akili kabisa!!..View attachment 1268889
Ccm ya Nyerere ilikuwa naMagufuli amerudisha makali ya ccm ile ya Nyerere
Mkuu huyo anaepokea Ubongo angevaa Suti ya Kijani mkuuHahahaha Mkuu yaani nimecheka sana kwa kweli,kuwa mwanachama wa CCM inahitaji moyo mgumu zaidi ya paka na kutokubali kutumia akili kabisa!!..View attachment 1268889
Hahahahaha Kweli Mkuu.Mkuu huyo anaepokea Ubongo angevaa Suti ya Kijani mkuu
Waache washangilie, hata Unguja baada ya kupora walishangilia.Amini usiamini, ni kishindo cha nzima na dunia nzima imetikisika baada ya ushindi wa kishindo wa kile chama kikongwe duniani kinachofanya siasa zake kwa njia za kisasa yaani za kisayansi chini ya magwiji ya kisiasa kama daud bashite, mzee polepole na Bashiru
Melefu ya wanyonge ambao maisha yao yameboreshwa kwa kasi katika awamu hii ya tano wamejitokeza barabarani kwa wingi kushangilia ushindi huo wa kishindo dhidi ya VIBARAKA WA MABEBERU ambao walishindwa hata kujaza fomu
Pongezi za dhati pia zimetolewa kwa WAZALENDO WAPENDA AMANI a.k.a watendaji wa kata na wakurugenzi kwa kuwaengua VIBARAKA WA MABEBERU ambao lengo lao ni kuleta machafuko nchini ili waondoe amani amabayo imeletwa na ccm huku ikitunzwa na jeshi mahiri kabisa la polisi barani afrika yaani police tz
Hii hapa chini ni mojawapo ya video zinazoonyesha shamrashamra hizo za kihistoria kabisa