Nchi yetu imelogwa au ni ya kichawi

Mwigulu for president na tukipata uraisi hii timu ya wahindi tunaifuta haraka sana au kushushwa daraja na kubebeshwa mzigo wa Tozo
 
Wewe
Wewe ni takataka tu kama zilivyo takataka nyingine, mi nilidhani unayo point ya msingi unaisema kumbe unaleta hekaya za abunwasi apa, Hivi nyie makorokoro fc mna matatizo gani hasa nyie, Mnabwata na tatizo la N-card mbona hata yanga ilikumbana na hilo tatizo mpaka watu kibao wakabaki nje ya uwanja mbona amkujitokeza kuongea? Who is simba by the way? Yaani mnatakaje kwamfano mbebwe mgongoni kwa maajabu yapi mnayojitapa kuwaonyesha nyie muwe spesho kuliko timu nyingine, Ebu acheni kutuvuruga kwenye mambo ya kipumbavu yasiyokuwa na kichwa wala miguu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…