Lord Delamere in Kenya
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 3,988
- 8,021
- Thread starter
- #21
Wachawi ndo mlivyo.Mtu akiwaanika mnamgeuzia kibao.We ni mulozi...soma ulichoandika utaamini nachokwambia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wachawi ndo mlivyo.Mtu akiwaanika mnamgeuzia kibao.We ni mulozi...soma ulichoandika utaamini nachokwambia.
Ndo uache ulozi na si kuwasingizia wenzenu.Wachawi ndo mlivyo.Mtu akiwaanika mnamgeuzia kibao.
Nimecheka kama mazuri[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mwigulu for president na tukipata uraisi hii timu ya wahindi tunaifuta haraka sana au kushushwa daraja na kubebeshwa mzigo wa Tozo
Wewe ni takataka tu kama zilivyo takataka nyingine, mi nilidhani unayo point ya msingi unaisema kumbe unaleta hekaya za abunwasi apa, Hivi nyie makorokoro fc mna matatizo gani hasa nyie, Mnabwata na tatizo la N-card mbona hata yanga ilikumbana na hilo tatizo mpaka watu kibao wakabaki nje ya uwanja mbona amkujitokeza kuongea? Who is simba by the way? Yaani mnatakaje kwamfano mbebwe mgongoni kwa maajabu yapi mnayojitapa kuwaonyesha nyie muwe spesho kuliko timu nyingine, Ebu acheni kutuvuruga kwenye mambo ya kipumbavu yasiyokuwa na kichwa wala miguuKuna watu wamekuwa wakinong'ona kuwa Taifa letu limelogwa na hivyo tutahangaika sana kama taifa kujiletea maendeleo. Nilikuwa siamini ila sasa nimeanza kuamini. Kwanini?
Kuna mambo fulani yanayoendelea kwenye siasa,uchumi,jamii yanavunja moyo sana.Lakini huku kwenye soka ni kabisaaa..!
Kabla sijaenda mbali nikupe sifa moja kati ya nyingi za wachawi: huwa hawapendi maendeleo na mafanikio.Kama ndugu zako ni wachawi,utawagundua utakapoanza kufanikiwa,sasa hivi huwezi kuwaelewa.
Ni hivi: Simba Sports Club imeonyesha mafanikio makubwa sana kwenye soka kwa miaka ya hivi karibuni na inaonekana ina nia ya kuelekea kwenye mafanikio makubwa zaidi. Ila cha ajabu kuna viongozi serikalini wenye dhamana ya soka letu wametokea kuichukia sana Simba SC.Si kwamba zamani waliwahi kuipenda,No! ila chuki zao dhidi ya Simba wameanza kuzidhihirisha baada ya Simba kuingia kwenye take-off stage ya mafanikio.
Nasema hivyo kwasababu;
1.Inakuwaje Simba SC ambayo imeliletea Taifa letu heshima kubwa ichukiwe na inyanyaswe huku serikali yote ikiwa kimya? (rejea suala la N-Cards). Nchi yetu isingekuwa na mindset ya kichawi Simba ilipaswa ipongezwe na ipewe support siyo kunyanyaswa.
2.Iweje Serikali na Media takribani zote wawe Pro-Yanga na kuiweka kando Simba? Kila kukicha ni kuipigia chapuo Yanga hii hii inayolidhalilisha taifa kwa 'kupigwa nao' na akina Kapumbu,Isaac Shamtompa na wenzake. Juzi tena ikafanyiziwa na Rivers United nyumbani kwetu na kuiaibisha nchi ila bado Media Houses zinawapa Yanga airtime ya kutosha kuliko Simba .Kama si kulogwa ni nini?
3.Ni Simba SC ndio imesababisha leo tuna vilabu 4 vinavyotuwakilisha kwenye michuano ya kimataifa.Haijawahi kutokea hii. Lakini watu wako kimya kana kwamba Simba haijafanya lolote katika hilo na bado wanaenda mbele kuinyanyasa Simba.
Simba ina bahati mbaya kuwepo Tanzania.Ni sawa na mtoto mwenye nyota ya mafanikio kuzaliwa katika familia ya kichawi...atafanikiwa kwa mbinde sana. Kuna wakati nimewaza:Simba nayo ikikata tamaa na hatimaye iachane na mipango mingine ya maendeleo iliyojiwekea (kwa sababu ya chuki dhidi yake) ndo tutapata maendeleo ya soka?
Kuishi ndani ya taifa lenye watu wenye roho za kichawi ni tatizo kubwa.KAMA WE UNAJIFANYA HUAMINI KAMA UCHAWI UPO NA UNAATHIRI MAENDELEO,UTAFIKIRI ULIZALIWA AMSTERDAM BADALA YA MSAMVU,HUWEZI KUNIELEWA. Ila nakushauri upatapo mafanikio usijifanye una huruma sana kwa ndugu zako kwa kuwapa misaada,utakufa mapema. Kama wazazi wake wanasemwa semwa ni 'wazee wa busara' usijaribu kuwajengea nyumba nzuri na kuhakikisha wanakula vizuri UTAKUFA MAPEMA uwaache ndugu zako wasio na mbele wala nyuma wakiishi maisha marefu.Uchawi haupendi mafanikio na Simba SC ina bahati mbaya kuwepo Tanzania.