Salaam, Shalom!!
Kwa Hali tuliyonayo hivi sasa, Nchi yetu inamuhitaji Rais wa aina hii. Muumini wa mifumo na upatikanaji wa KATIBA mpya.
1. Rais mwenye Maono na upeo mkubwa juu ya Tanzania Kwa miaka 200 ijayo. Muumini wa mifumo Imara, mzalendo wa kiuchumi.
2. Rais atakayekuwa na msimamo uliyonyooka juu ya mmomonyoko wa Maadili na Kupambana na UOVU, USHOGA, biashara ya viungo vya binadamu Kwa vitendo.
3. Rais atakayefumua mtandao wa wizi wa pesa za umma. Rais atakayetindua waizi Kwa kutumia mifumo Bora kisheria na kurudisha pesa zilizoibwa.
4. Rais achukiaye RUSHWA Kwa vitendo.
5. Rais atakayeunganisha watu wote na makundi Yao mbalimbali, dini, kabila, vyama nk nk .
6. Rais atakayehusika kuondoa pengo kati ya Walionacho na wasionacho. Anayechukia Umaskini Kwa vitendo, aliyetokea familia maskini, akapambana Kwa jitihada zake nje ya siasa, Hadi kuwa tajiri. Asiyetokana na kubebwa na familia za wanasiasa. Asiwe mtoto wa mafisadi.
7. Rais mcha Mungu Kweli Kweli, Si Hawa waigizaji. Muumini wa Mungu Mmoja muumba mbingu na Nchi mwenye kuheshimu dini na Imani zote.
8. Rais atakayetisha waovu. Msaliti wa wapiga deal, asiyetanguliza maslah binafsi, familia au Rafiki zake, Bali maslah ya nchi.
9. Rais mlinzi wa raslimali za nchi.
10. Rais atakayekuwa na uono mpana juu ya kurudisha raslimali za nchi na kuvunja mikataba ovu isiyoinufaiaha Nchi ambayo ilisainiwa na watangulizi.
11. Rais mlinzi wa uhuru wa kujieleza. Mwenye kuheshimu vyombo vya habari na kuheshimu Sheria, anayekubali kukosolewa Ili kujenga panapopungua katika uongozi wake, mvunilivu, asiyekurupuka, mwenye kuwapenda watu wote akichukia UOVU ulionndani ya watu anaowaongoza.
12. Rais intelligent, mwenye uwezo wa kuchukua ushauri na mapendekezo chanya Toka Kwa wasaidizi wake.
13. Muumini wa ELIMU, NZURI BORA, Kama nyenzo Bora kututoa hapa tulipo.
14. Rais mwerevu wa kuchagua Nchi Rafiki za kushirikiana nazo, Rais atakayeibariki Israel wazi wazi
15. Rais atakayetumia mamlaka yake kisheria kutokomeza kabisa Ramli na Waganga wachawi ambao ndio kitovu Cha mauaji ya watoto na albino na watu wasio na hatia.
16. Rais atakayependa na kurudisha Heshima ya Tanzania Kwa Afrika na Dunia nzima, yaani tupate Rais atakayekuwa kimbilio la Afrika nzima katika harakati za kuiunganisha Afrika nzima iwe DOLA Imara.
17. Rais atakayehakikisha 85% ya vijana Watanzania, wanaajirika na kujiajiri, wote wanafanya KAZI na kulipa Kodi kulingana na vipato vyao. Atakayetumia wataalamu na mipango thabiti kuhakikisha wote tunafanya KAZI na kuingiza kipato kizuri.
18. Rais msomi mwenye PhD ya darasani ambaye hakuipata kimagumashi, awe na exposure ya kuijua Dunia.
Hadi hapo, naamini Rais huyo ajaye 2025 umekwisha mfahamu.
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA. Amen
Karibuni.