Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
SawaaaaaKusema " wote" hii Si sawa,
Maana huna Utafiti WA kukusaidia kufikia HITIMISHO Hilo.
Tumshirikishe Mungu kumpata Rais sahihi,
Kutumia akili na macho yetu kibinadamu, tutafail.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SawaaaaaKusema " wote" hii Si sawa,
Maana huna Utafiti WA kukusaidia kufikia HITIMISHO Hilo.
Tumshirikishe Mungu kumpata Rais sahihi,
Kutumia akili na macho yetu kibinadamu, tutafail.
Yupo, Mimi nimemwona.
Nasubiri maoni zaidi ya wadau Ili nijirishishe ikiwa wanaona nionacho.Mtaje
Hiyo 10% Bado ni watu wengi sana, tuwachambue, tuwachuje Pole pole,kupata sifa zote hizo kwa mtu mweusi sio kazi nyepesi, ILa kwa CCM ni guarantee 90% ya hizo sifa huwezipata
Hajazaliwa bado rais mmoja mwenye sifa zote unazotamani kuziona kwa kiongozi wa nchi.Salaam, Shalom!!
Kwa Hali tuliyonayo hivi sasa, Nchi yetu inamuhitaji Rais wa aina hii. Muumini wa mifumo na upatikanaji wa KATIBA mpya.
1. Rais mwenye Maono na upeo mkubwa juu ya Tanzania Kwa miaka 200 ijayo. Muumini wa mifumo Imara, mzalendo wa kiuchumi.
2. Rais atakayekuwa na msimamo uliyonyooka juu ya mmomonyoko wa Maadili na Kupambana na UOVU, USHOGA, biashara ya viungo vya binadamu Kwa vitendo.
3. Rais atakayefumua mtandao wa wizi wa pesa za umma. Rais atakayetindua waizi Kwa kutumia mifumo Bora kisheria na kurudisha pesa zilizoibwa.
4. Rais achukiaye RUSHWA Kwa vitendo.
5. Rais atakayeunganisha watu wote na makundi Yao mbalimbali, dini, kabila, vyama nk nk .
6. Rais atakayehusika kuondoa pengo kati ya Walionacho na wasionacho. Anayechukia Umaskini Kwa vitendo, aliyetokea familia maskini, akapambana Kwa jitihada zake nje ya siasa, Hadi kuwa tajiri. Asiyetokana na kubebwa na familia za wanasiasa. Asiwe mtoto wa mafisadi.
7. Rais mcha Mungu Kweli Kweli, Si Hawa waigizaji. Muumini wa Mungu Mmoja muumba mbingu na Nchi mwenye kuheshimu dini na Imani zote.
8. Rais atakayetisha waovu. Msaliti wa wapiga deal, asiyetanguliza maslah binafsi, familia au Rafiki zake, Bali maslah ya nchi.
9. Rais mlinzi wa raslimali za nchi.
10. Rais atakayekuwa na uono mpana juu ya kurudisha raslimali za nchi na kuvunja mikataba ovu isiyoinufaiaha Nchi ambayo ilisainiwa na watangulizi.
11. Rais mlinzi wa uhuru wa kujieleza. Mwenye kuheshimu vyombo vya habari na kuheshimu Sheria, anayekubali kukosolewa Ili kujenga panapopungua katika uongozi wake, mvunilivu, asiyekurupuka, mwenye kuwapenda watu wote akichukia UOVU ulionndani ya watu anaowaongoza.
12. Rais intelligent, mwenye uwezo wa kuchukua ushauri na mapendekezo chanya Toka Kwa wasaidizi wake.
13. Muumini wa ELIMU, NZURI BORA, Kama nyenzo Bora kututoa hapa tulipo.
14. Rais mwerevu wa kuchagua Nchi Rafiki za kushirikiana nazo, Rais atakayeibariki Israel wazi wazi
15. Rais atakayetumia mamlaka yake kisheria kutokomeza kabisa Ramli na Waganga wachawi ambao ndio kitovu Cha mauaji ya watoto na albino na watu wasio na hatia.
16. Rais atakayependa na kurudisha Heshima ya Tanzania Kwa Afrika na Dunia nzima, yaani tupate Rais atakayekuwa kimbilio la Afrika nzima katika harakati za kuiunganisha Afrika nzima iwe DOLA Imara.
17. Rais atakayehakikisha 85% ya vijana Watanzania, wanaajirika na kujiajiri, wote wanafanya KAZI na kulipa Kodi kulingana na vipato vyao. Atakayetumia wataalamu na mipango thabiti kuhakikisha wote tunafanya KAZI na kuingiza kipato kizuri.
18. Rais msomi mwenye PhD ya darasani ambaye hakuipata kimagumashi, awe na exposure ya kuijua Dunia.
Hadi hapo, naamini Rais huyo ajaye 2025 umekwisha mfahamu.
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA. Amen
Karibuni.
Nina HAKIKA hujamtafuta kati wa Watanzania 60ml.Hajazaliwa bado rais mmoja mwenye sifa zote unazotamani kuziona kwa kiongozi wa nchi.
Uyu bwana ni mzuri pia ila sasa wahuni walishaona upeo wake mkubwa japo kwa lissu bado , na humsukumizia kwenye ukuu wa mkoa, ila zipo tetesi anajiongeza gombea jimbo flani hivi , sitotaja maana wahuni hawakawii kumuanzishia figisu, uyu Bwana hatujuani ila binafsi japo yupo ccm namkubali sana , na sio leo sema jambo hili kwake hum jfAnthony Mtaka. Asogee mbele
Miongoni mwa Kiongozi aliyepatikana kwa meritocracy.🙂 aliyokua anaihubiri Msigwa wa zamani.Uyu bwana ni mzuri pia ila sasa wahuni walishaona upeo wake mkubwa japo kwa lissu bado , na humsukumizia kwenye ukuu wa mkoa, ila zipo tetesi anajiongeza gombea jimbo flani hivi , sitotaja maana wahuni hawakawii kumuanzishia figisu, uyu Bwana hatujuani ila binafsi japo yupo ccm namkubali sana , na sio leo sema jambo hili kwake hum jf
Nmesoma vizuri kabsa umeandika mambo mazuri ila kwenye 14 nmekudharau,yani unataka rais atakayeunga mkono Israel kuua watu Palestina?Salaam, Shalom!!
Kwa Hali tuliyonayo hivi sasa, Nchi yetu inamuhitaji Rais wa aina hii. Muumini wa mifumo na upatikanaji wa KATIBA mpya.
1. Rais mwenye Maono na upeo mkubwa juu ya Tanzania Kwa miaka 200 ijayo. Muumini wa mifumo Imara, mzalendo wa kiuchumi.
2. Rais atakayekuwa na msimamo uliyonyooka juu ya mmomonyoko wa Maadili na Kupambana na UOVU, USHOGA, biashara ya viungo vya binadamu Kwa vitendo.
3. Rais atakayefumua mtandao wa wizi wa pesa za umma. Rais atakayetindua waizi Kwa kutumia mifumo Bora kisheria na kurudisha pesa zilizoibwa.
4. Rais achukiaye RUSHWA Kwa vitendo.
5. Rais atakayeunganisha watu wote na makundi Yao mbalimbali, dini, kabila, vyama nk nk .
6. Rais atakayehusika kuondoa pengo kati ya Walionacho na wasionacho. Anayechukia Umaskini Kwa vitendo, aliyetokea familia maskini, akapambana Kwa jitihada zake nje ya siasa, Hadi kuwa tajiri. Asiyetokana na kubebwa na familia za wanasiasa. Asiwe mtoto wa mafisadi.
7. Rais mcha Mungu Kweli Kweli, Si Hawa waigizaji. Muumini wa Mungu Mmoja muumba mbingu na Nchi mwenye kuheshimu dini na Imani zote.
8. Rais atakayetisha waovu. Msaliti wa wapiga deal, asiyetanguliza maslah binafsi, familia au Rafiki zake, Bali maslah ya nchi.
9. Rais mlinzi wa raslimali za nchi.
10. Rais atakayekuwa na uono mpana juu ya kurudisha raslimali za nchi na kuvunja mikataba ovu isiyoinufaiaha Nchi ambayo ilisainiwa na watangulizi.
11. Rais mlinzi wa uhuru wa kujieleza. Mwenye kuheshimu vyombo vya habari na kuheshimu Sheria, anayekubali kukosolewa Ili kujenga panapopungua katika uongozi wake, mvunilivu, asiyekurupuka, mwenye kuwapenda watu wote akichukia UOVU ulionndani ya watu anaowaongoza.
12. Rais intelligent, mwenye uwezo wa kuchukua ushauri na mapendekezo chanya Toka Kwa wasaidizi wake.
13. Muumini wa ELIMU, NZURI BORA, Kama nyenzo Bora kututoa hapa tulipo.
14. Rais mwerevu wa kuchagua Nchi Rafiki za kushirikiana nazo, Rais atakayeibariki Israel wazi wazi
15. Rais atakayetumia mamlaka yake kisheria kutokomeza kabisa Ramli na Waganga wachawi ambao ndio kitovu Cha mauaji ya watoto na albino na watu wasio na hatia.
16. Rais atakayependa na kurudisha Heshima ya Tanzania Kwa Afrika na Dunia nzima, yaani tupate Rais atakayekuwa kimbilio la Afrika nzima katika harakati za kuiunganisha Afrika nzima iwe DOLA Imara.
17. Rais atakayehakikisha 85% ya vijana Watanzania, wanaajirika na kujiajiri, wote wanafanya KAZI na kulipa Kodi kulingana na vipato vyao. Atakayetumia wataalamu na mipango thabiti kuhakikisha wote tunafanya KAZI na kuingiza kipato kizuri.
18. Rais msomi mwenye PhD ya darasani ambaye hakuipata kimagumashi, awe na exposure ya kuijua Dunia.
Hadi hapo, naamini Rais huyo ajaye 2025 umekwisha mfahamu.
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA. Amen
Karibuni.
bora tuongozwe na marehem magufuri kwa kufata hotuba zake zilizo hai kuliko kuongozwa na kiongozi yoyote anayepumua...wenye msiba wake ndani walikuta lundo la pesa za uma na matofali ya dhahabu alizonyakua kwa wadau