Pre GE2025 Nchi yetu inamuhitaji Rais wa aina hii 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwa jinsi nilivyomsikiliza mkono wa Baunsa kwenye clip fulani!!

Yale maono ya kuwaondoa vijana mtaani wakapige KAZI au kilimo.kwenye mashamba huko !imekaa vizuri sana!!

Akitangaza Nia Mimi nitamuunga mkono kwa hilo!

Mungu ibariki Tanzania!
 
kupata sifa zote hizo kwa mtu mweusi sio kazi nyepesi, ILa kwa CCM ni guarantee 90% ya hizo sifa huwezipata
Hiyo 10% Bado ni watu wengi sana, tuwachambue, tuwachuje Pole pole,

Tutampata tu, Mungu atusaidie.
 
Ikitokea CCM wakamsimamisha asiye na sifa hapo juu, tumtafute vyama vya upinzani ,

Tutafika tu.
 
Hajazaliwa bado rais mmoja mwenye sifa zote unazotamani kuziona kwa kiongozi wa nchi.
 
Hiyo ya 14 umepaisha.Hiyo ya 18 sio sana.
Tunahitaji Rais ambaye atatupa katiba mpya..na ambae atailinda kwa vitendo bila kuyumbishwa - kila kitu atajikuta kafanya...UTII WA SHERIA NA WATU WOTE WAWAJIBISHWE
 
Hapa , anaitajika Lissu , for 5 yrs tu nchi itakua imekaa sawa , japo iyo miaka mitano ya kwanza itakua ni ngum kidogo maana nchi imearibiwa pakubwa sana
 
Anthony Mtaka. Asogee mbele
Uyu bwana ni mzuri pia ila sasa wahuni walishaona upeo wake mkubwa japo kwa lissu bado , na humsukumizia kwenye ukuu wa mkoa, ila zipo tetesi anajiongeza gombea jimbo flani hivi , sitotaja maana wahuni hawakawii kumuanzishia figisu, uyu Bwana hatujuani ila binafsi japo yupo ccm namkubali sana , na sio leo sema jambo hili kwake hum jf
 
Miongoni mwa Kiongozi aliyepatikana kwa meritocracy.🙂 aliyokua anaihubiri Msigwa wa zamani.
 
Nmesoma vizuri kabsa umeandika mambo mazuri ila kwenye 14 nmekudharau,yani unataka rais atakayeunga mkono Israel kuua watu Palestina?
 
Kf
bora tuongozwe na marehem magufuri kwa kufata hotuba zake zilizo hai kuliko kuongozwa na kiongozi yoyote anayepumua...wenye msiba wake ndani walikuta lundo la pesa za uma na matofali ya dhahabu alizonyakua kwa wadau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…