Ila hata kama kusiwe na haki hasa kwa raia poa tu ili mrad viongoz wao wanapata haki au siyo sisi wengne tutekwe, tuuawawe, hakuna dawa wala maji poa tu aman iwepo huku viongoz wakiogelea kwny mabilion ya kodi na mikopo au vp wakiugua hata mafua tu wanapanda ndege kutibiwa india au ulaya au siyo inshu ni amani..