Viwanda ndio uchumi imara, Kama huna viwanda vya kutosha huwezi kuwa na uchumi mzuri. Hakuna maendeleo au ukuaji mzuri wa kiuchumi bila kuwa na uzalishaji unaotokana na viwanda kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali hizi ndizo nchi zilizoendelea kiviwanda katika bara Africa.
1)- South Africa πΏπ¦
2)- Egypt πͺπ¬
3)- Morocco π²π¦
4)- Tunisia πΉπ³
5)- Nigeria π³π¬
6)- Mauritius π²πΊ
7)- Senegal πΈπ³
8)- Kenya π°πͺ
9)- Namibia π³π¦
10)- Cameroon π¨π²