Binafsi naona Human Development Index(HDI) ndio kipimo sahihi cha kupima level ya nchi kimaendeleo maana ni summary ya combination ya vitu vyote vya msingi, kwanzia elimu,afya/life expectancy,ustarabu,kipato na hali ya maisha.
Ila hizi zingine kama general income levels ya nchi husika, muda mwingine vinadanganya...