pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Hahaha, heri ungekuwa unavisha tu malapa mikononi kisha unafanya kweli kama Usain Bolt! 😀😀😀Ndio zao hao, wananikumbusha kipindi nikiwa mdogo, ilikua nikiona kama upo mkubwa zaidi yangu na nina ugomvi nawe, basi nakuambia nimekusamehe, ila ukweli wa mambo ni kwamba nimeogopa utanipa kichapo.
ishu sio mitumba.Yote hii kuwalea na kuwafuta machozi Wakenya, anyway ni sisi wananchi kuamua kutokununua hiyo mitumba (inawezekana). Ndio maana Kagame hakutokea kwenye mkutano, alisha kataa mitumba katakata.
Fuatilia historia yetu hutana kawaida ya kushikwa matako na wazungu kama nyinyi mfano tu Ile kura ya maoni ya kuitambua Jerusalem kama mji mkuu tz ni moja ya nchi chache za Africa zilizopinga na pekee East Africa😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀kagame, museveen na magufuli wote wamebwagwa na Trump
Hivi unadhani maendeleo yanapatikana kwa urahisi kiasi hicho?, lazima kuwepo na mipango mizuri na kujitoa muhanga, kwa wale wanaofuatilia kwa makini mikakati mizuri iliwekwa kwamba ndani ya miaka mitano, hizi nchi zijiimarishe kwa kujenga viwanda vya nguo vitakavyozalisha nguo nyingi na za bei nafuu sana, baada ya kipindi hicho, taratibu tuanze kupunguza uingizaji wa mitumba endapo tutajiridhisha kwamba tunazalisha nguo za bei nafuu na kukidhi soko letu.ishu sio mitumba.
ishu wananchi wako watavaa nini,?
hauwezi kukataza mitumba wakati 98% ya wananchi wako ni masikini Wa kutupwa.hali mbaya.
akiwa na buku akipita tandale anapata shati au t shirt.
kuna kiwanda cha nguo chochote hapa Tanzania kinachouza nguo sh 1000?Hivi unadhani maendeleo yanapatikana kwa urahisi kiasi hicho?, lazima kuwepo na mipango mizuri na kujitoa muhanga, kwa wale wanaofuatilia kwa makini mikakati mizuri iliwekwa kwamba ndani ya miaka mitano, hizi nchi zijiimarishe kwa kujenga viwanda vya nguo vitakavyozalisha nguo nyingi na za bei nafuu sana, baada ya kipindi hicho, taratibu tuanze kupunguza uingizaji wa mitumba endapo tutajiridhisha kwamba tunazalisha nguo za bei nafuu na kukidhi soko letu.
Kwanza ninakuomba uwe unaelewa kinachoendelea badala ya kuanza na mtizamo hasi. Kwanza huo muda wa kuanza kupiga marufuku mitumba haujafika kwa sababu bado hatujajenga viwanda vya kutosha kwasasa, pili hakuna nguo mpya yoyote inayouzwa bei hiyo, ila hata sisi tukishazivaa hizo nguo mpya tunaweza kuamua kuuziana mitumba hapa hapa nchini na bei ikawa kama hiyo unayotaja, tatu viwanda vya nguo maana yake ni ajira kwa watu wetu, kupunguza matumizi ya pesa za kigeni kununua nguo za nje, serikali kupata mapato kutokana na viwanda na PAYEE za wafanyakazi, na faida nyingi zinazotokana na kuimarika kwa viwanda nchini, badala ya kuangalia unafuu wa bei ya nguo chakavu pekee, unapaswa uangalie uchumi mpana zaidi, hakuna nchi itakayoimarika duniani kwa kuendelea ku import badala ya kuexport.kuna kiwanda cha nguo chochote hapa Tanzania kinachouza nguo sh 1000?
wewe unachekesha kiongozi.Kwanza ninakuomba uwe unaelewa kinachoendelea badala ya kuanza na mtizamo hasi. Kwanza huo muda wa kuanza kupiga marufuku mitumba haujafika kwa sababu bado hatujajenga viwanda vya kutosha kwasasa, pili hakuna nguo mpya yoyote inayouzwa bei hiyo, ila hata sisi tukishazivaa hizo nguo mpya tunaweza kuamua kuuziana mitumba hapa hapa nchini na bei ikawa kama hiyo unayotaja, tatu viwanda vya nguo maana yake ni ajira kwa watu wetu, kupunguza matumizi ya pesa za kigeni kununua nguo za nje, serikali kupata mapato kutokana na viwanda na PAYEE za wafanyakazi, na faida nyingi zinazotokana na kuimarika kwa viwanda nchini, badala ya kuangalia unafuu wa bei ya nguo chakavu pekee, unapaswa uangalie uchumi mpana zaidi, hakuna nchi itakayoimarika duniani kwa kuendelea ku import badala ya kuexport.
Siwezi amini leo umeongea hoja.ishu sio mitumba.
ishu wananchi wako watavaa nini,?
hauwezi kukataza mitumba wakati 98% ya wananchi wako ni masikini Wa kutupwa.hali mbaya.
akiwa na buku akipita tandale anapata shati au t shirt.
Kamwe hatuwezi kushindana na nchi zilizoendelea kiviwanda, bila kuwa na sera ya kuvilinda viwanda vyetu, kama ni mfuatiliaji wa historia ya maendeleo ya viwanda duniani, utakumbuka kwamba Uingereza ndiyo nchi ya kwanza duniani kuwa na viwanda vya nguo vingi, na ili kuvilinda dhidi ya viwanda vingine, Uingereza ilipiga marufuku na kuzuia uzalishaji wa nguo duniani kote, hasa katika nchi alizokua anazitawala, sana sana India ili aweze kuuza nguo zake tu, japo nchi hizo hazikuwa na technolojia bora zaidi ya Uingereza, hadi leo Marekani inapambana kulinda soko lake la magari dhidi ya magari ya Japan.wewe unachekesha kiongozi.
angalia hali za watanzania.ndo uzungumze.
mitumba inasaidia sana.nguo ya mtumba inayotengenezwa ulaya na marekani hakuna kiwanda chochote hapa Tanzania kinaweza kutengeneza.
nguo ni nzuri,na bei ni nafuu.
ishu si kupiga marufuku mitumba.Bali kama tunaweza tushindane na mitumba sokoni.
Hua haupigi stop vitu kuingia kwako directly badala yake unatumia tozo mbalimbali ili kumdiscourage mtu kuleta mzigo kwako.Hivi unadhani maendeleo yanapatikana kwa urahisi kiasi hicho?, lazima kuwepo na mipango mizuri na kujitoa muhanga, kwa wale wanaofuatilia kwa makini mikakati mizuri iliwekwa kwamba ndani ya miaka mitano, hizi nchi zijiimarishe kwa kujenga viwanda vya nguo vitakavyozalisha nguo nyingi na za bei nafuu sana, baada ya kipindi hicho, taratibu tuanze kupunguza uingizaji wa mitumba endapo tutajiridhisha kwamba tunazalisha nguo za bei nafuu na kukidhi soko letu.
kinacho mata ni bei ya NGUO.Kamwe hatuwezi kushindana na nchi zilizoendelea kiviwanda, bila kuwa na sera ya kuvilinda viwanda vyetu, kama ni mfuatiliaji wa historia ya maendeleo ya viwanda duniani, utakumbuka kwamba Uingereza ndiyo nchi ya kwanza duniani kuwa na viwanda vya nguo vingi, na ili kuvilinda dhidi ya viwanda vingine, Uingereza ilipiga marufuku na kuzuia uzalishaji wa nguo duniani kote, hasa katika nchi alizokua anazitawala, sana sana India ili aweze kuuza nguo zake tu, japo nchi hizo hazikuwa na technolojia bora zaidi ya Uingereza, hadi leo Marekani inapambana kulinda soko lake la magari dhidi ya magari ya Japan.
Mbona unazungumzia eneo moja pekee la bei ya nguo lakini hayo mengine yote kuhusu uchumi mpana unaotokana na viwanda huzungumzii?, unadhani nchi hii itaendelea kwa kutegemea kuagiza bidhaa pekee toka nje ya nchi bila kujitahidi kutengeneza vitu vyetu?. Kama tutafuata unavyosema wewe basi tuagize kila kitu toka nje, kwasababu karibu vitu vyote vya nje vina bei nafuu na ni bora ukilinganisha na hapa nchini.
Kaka ninakuelewa sana ila unafanyakosa kubwa sana kwa kuangalia uchumi wa nchi katika mtazamo finyu kiasi hicho, nilikuuliza maswali mengi sana lakini unayakwepa kuyajibu.kinacho mata ni bei ya NGUO.
sio kuwa na viwanda vingi vya nguo.
ndo maana hata huo mfano uliotoa KWA uingereza kuzuia nguo za nchi nyingine inawezekana nguo za nchi hizo ziliuzwa bei nafuu huko uingereza.
sipingi huo mpango.Ila watakao umia ni wananchi wa hali ya chini.labda nguo zetu za viwanda vya hapa ziwe nzuri na ziuzwe kwa bei nafuu.
ACHA MASIKHARA NA MITUMBA MZEE.
Mimi mpaka Leo navaa mitumba.
baba yangu aliuza mitumba.mitumba ndo imenilea na kunistiri.
hivi ukimuuzia mtanzania shati kwa sh 10,000 utakuwa umempunguzia ugumu Wa maisha au umemuongezea?Kamwe hatuwezi kushindana na nchi zilizoendelea kiviwanda, bila kuwa na sera ya kuvilinda viwanda vyetu, kama ni mfuatiliaji wa historia ya maendeleo ya viwanda duniani, utakumbuka kwamba Uingereza ndiyo nchi ya kwanza duniani kuwa na viwanda vya nguo vingi, na ili kuvilinda dhidi ya viwanda vingine, Uingereza ilipiga marufuku na kuzuia uzalishaji wa nguo duniani kote, hasa katika nchi alizokua anazitawala, sana sana India ili aweze kuuza nguo zake tu, japo nchi hizo hazikuwa na technolojia bora zaidi ya Uingereza, hadi leo Marekani inapambana kulinda soko lake la magari dhidi ya magari ya Japan.
Mbona unazungumzia eneo moja pekee la bei ya nguo lakini hayo mengine yote kuhusu uchumi mpana unaotokana na viwanda huzungumzii?, unadhani nchi hii itaendelea kwa kutegemea kuagiza bidhaa pekee toka nje ya nchi bila kujitahidi kutengeneza vitu vyetu?. Kama tutafuata unavyosema wewe basi tuagize kila kitu toka nje, kwasababu karibu vitu vyote vya nje vina bei nafuu na ni bora ukilinganisha na hapa nchini.
hata tuwe na viwanda bilioni.Kaka ninakuelewa sana ila unafanyakosa kubwa sana kwa kuangalia uchumi wa nchi katika mtazamo finyu kiasi hicho, nilikuuliza maswali mengi sana lakini unayakwepa kuyajibu.
1)Kwahiyo tuendelee kuwa ni nchi inayoagiza vitu toka nje tu bila kujitahidi kujenga viwanda vyetu?, kumbuka hata siku moja hatutaweza kuuza bidhaa zetu ziwe nafuu kupambana na nchi zilizoendelea
3) Unasema unachoangalia ni bei ya nguo pekee, hizo faida za kuwa na viwanda nchini nilizoeleza yote kwako unaona sio muhimu hata kidogo kitu muhimu kwako pekee ni bei ya used clothes?
Umempunguzia bei ya nguo, lakini tumepunguza pesa ambayo tungeweza kuagiza dawa za hospitali, tungeweza, tungeweza kuagiza tractor kuzalisha chakula, tungeweza kujenga viwanda kwa ajili ya kuwapatia ajira vijana wanaomaliza vyuo vikuu, tungeweza kupunguza kodi mbalimbali kwa wananchi wetu, serikali ingeweza kukusanya kodi nyingi kwa ajili ya huduma za jamii, huoni faida za kujengea viwanda zinazidi kwa mbali sana hiyo bei nafuu ya mitumba?hivi ukimuuzia mtanzania shati kwa sh 10,000 utakuwa umempunguzia ugumu Wa maisha au umemuongezea?
wakati 10,000 hyo hyo ukienda mtumbani.unapata kuanzia juu mpaka chini
Kwahiyo tufunge viwanda vyote hapa nchini tutegemee kuagiza bidhaa zote toka nje kwasababu ni bei nafuu?hata tuwe na viwanda bilioni.
hata hakutakuwa na bei rafiki kwa masikini ni kazi bure.
na ndo maana wazungu na wamarekani wamelenga soko lao la mitumba kwenye nchi za Africa maana ndo kuna masikini wengi.na ndio kwenye hela.
ikibidi.Kwahiyo tufunge viwanda vyote hapa nchini tutegemee kuagiza bidhaa zote toka nje kwasababu ni bei nafuu?
hizo hela za kununua nguo wanazo?Umempunguzia bei ya nguo, lakini tumepunguza pesa ambayo tungeweza kuagiza dawa za hospitali, tungeweza, tungeweza kuagiza tractor kuzalisha chakula, tungeweza kujenga viwanda kwa ajili ya kuwapatia ajira vijana wanaomaliza vyuo vikuu, tungeweza kupunguza kodi mbalimbali kwa wananchi wetu, serikali ingeweza kukusanya kodi nyingi kwa ajili ya huduma za jamii, huoni faida za kujengea viwanda zinazidi kwa mbali sana hiyo bei nafuu ya mitumba?
Duuuu...kaka kwa akili hizi za kwamba nchi isizalishe chochote nchini kwasababu bei za bidhaa zetu zipo juu kuliko bidhaa za nje, nimeanza kukuelewa wewe ni mtu wa aina gani. Ninakuombea maisha mazuri na marefu kaka yangu[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]ikibidi.
sasa utamuuzia nani?
nguo bei ya juu wakati wateja wenyewe ni masikini?
ikiwa pamba inatoka hapa hapa.
lakini vitu ni bei juu.
hatuwezi kuendelea kwa kukamuana wenyewe kwa wenyewe.Duuuu...kaka kwa akili hizi za kwamba nchi isizalishe chochote nchini kwasababu bei za bidhaa zetu zipo juu kuliko bidhaa za nje, nimeanza kukuelewa wewe ni mtu wa aina gani. Ninakuombea maisha mazuri na marefu kaka yangu[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]