Kidagaa kimemwozea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 3,680
- 6,554
NamNaunga mkono hoja
Utumbo mtupu uko mpaka maji yenyewe tatizoSouth Africa veepe?! ๐ผ
ANC ni kama CCM tu Wapigaji.South Africa veepe?! ๐ผ
South Africa mgao karibu mwaka mzima. Tunafanana tu.South Africa veepe?! ๐ผ
kuna miradi nchi nyingi inaona kama hipo usalama wa taifa.Hii biashara ni kwamba haina faida au shida huwa ni kitu gani?
Yaani wateja wapo, huduma wanaitaka ila wewe unashindwa kuwasatisfy! Inakuwa kama ni huduma ya bure sasa!
Wana mito, jua, mvua, Nyuklia, upepo kutuzidi sisi? Wametuzidi nini?1. Ghana2. Cape Verde 3. Cote d'Ivoire 4. Algeria 5. Tunisia 6. Morocco 7. Seychelles 8. Mauritius 9. Egypt 10. Gabon 11. Benin Republic 12. Kenya 13. Botswana 14. Senegal
Chanzo , Africa fact zone
Hata Benin inatushinda kweli, au tumelogwa?
Hebu fafanua vizuri please?!Wakuu wanarejesha hela iliopotea wkt wa awamu ya 5