Nchi za Afrika zenye umeme wa uhakika

Hii 12 kuminambili nakukatalitumewazodi maramia Kenya hawanaubavuwakutuzid
 
Wakati wa Gaddafi Libya ilikuwa bure.
 
Kenya umeiweka kwa vigezo vipi
 
Nawauliza Wakenya, vyanzo vya umeme Kenya ni vipi?
 
Wapuuzi tu, Ghana hapa umeme wa uhakika...nimebaki nashangaa. Habari zingine za kijinga tu
 
Kuna mmoja anataka kuanza kuuzia wenzie wakati kweny list hayupo ,kama sio utapeli ni nn?
 
Nawauliza Wakenya, vyanzo vya umeme Kenya ni vipi?
Maporomoko, Geothermal, Jua na upepo. Ujue kule umeme wanaita steamer! Sijui umeme wa steamer unazalishwa na nini? Yametuzidi aiseeee!
 
Sasa kama Libya mafuta ni bure hivyo kwa nini hatuagizi huko?
 
Nilitegemea kuona Uganda kwasababu nilikaa huko for months umeme ulikatika siku moja tu tena kwa less than a minute

Kenya wanapata wapi umeme wao hao maana hawaishi kulalamika ukame
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ