Nchi za Asia ,wanawake na wanaume wanashinda kujilemba na kuwa watu maarufu.

Nchi za Asia ,wanawake na wanaume wanashinda kujilemba na kuwa watu maarufu.

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Kama umefika Korea kaskazini, Japan, Malaysia, Taiwan, Singapore, China au tuseme nchi za asia zote mpaka urusi nayo.

Yani wanawake na wanaume wanashindana kwa uzuri kwa kukipodoa.

Sijui kama mnakumbuka ile safari ya bongo zozo alishindwa kuelewa yupi dume yupi jike.

Hawa bara la asia ukifika huko ni sawa na singida iliyo changamka pro max kwa wanawake ambao ni weupe ila wanatumia dawa wawe weupe kuliko nguruwe.
 
Back
Top Bottom