joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Wakati Rwanda na Uganda zikitumia njia ya "lockdown without mass testing", nchi ya Kenya imeamua kutumia njia ya " mass testing without "lockdown", Tanzania na Burundi zimeamua kudhibiti wageni na kuwaweka chini ya karantini kwa siku 14, na kuendelea kuwatahadharisha raia wao umuhimu wa kuchukua tahadhari na kuepuka mikusanyiko isoyokua ya lazima.
Mimi binafsi ninadhani ili ni jambo jema sana, kwasababu huu ni ugonjwa mpya, hakuna mwenye kujua na uhakika hasa njia ipi ni sahihi, yule atakayefanikiwa atatumika kama "reference" kwa nchi zingine.
Kila la kheri katika mapambano, kwa wale watakao toboa tunawatakia maisha mazuri na marefu baada ya huu mtiti, ila kwa wale watakaoaga dunia, tutakutana tena kwenye paradisooo...
Sent using Jamii Forums mobile app