Nchi za EA zagawanyika katika mbinu za kupambana na maambukizi ya Corona

Nchi za EA zagawanyika katika mbinu za kupambana na maambukizi ya Corona

LOL Kuna mwanaume mmoja alikua anapigwa halafu analia kama ng'ombe [emoji23][emoji23][emoji23]
Ikija tz wote mtajifungia ndan[emoji3][emoji3][emoji3]

god is good
 
LOL aggressive attitude ipi? Mnakung'utwa na police kama magunia na mnatii, si mngeleta timbwili kama ninyi kweli mpo aggressive 😂😂😂😂😂
What do you understand by the term aggressive? Naona kidogo maana yake hujui? Umekimbia kuleta pumba
 
Hapana kaka, unaposema kwamba Tanzania maambukizi ni machache kwasababu hawana uwezo wa kupima watu wengi, ila Kenya tunauwezo wa kupima watu wengi ndio sababu idadi ni kubwa, hiyo statement unadhani inalenga nini kama sio kutegemea mikwaruzano isiyokuwa na sababu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Jifunze kupitia hyo table jomba..huo ugonjwa hautabiriki hata kidogo na wala sio wa mzaha km wengi wanavyofikiria hapa..mi bora nikakaa kimya tu
tapatalk_1585766988243.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jifunze kupitia hyo table jomba..huo ugonjwa hautabiriki hata kidogo na wala sio wa mzaha km wengi wanavyofikiria hapa..mi bora nikakaa kimya tu
View attachment 1406239

Sent using Jamii Forums mobile app
Ninasema hivi?, wiki mbili zijazo ndio zitatoa majibu, nani yupo sahihi kati ya yule mwenye kutumia nguvu nyingi katika kupima na kusoma majibu kwenye vyombo vya habari kila siku, na yule ambaye anapoteza nguvu nyingi katika kudhibiti wageni wanaoingia nchini na kufuatilia watu waliokutana na wagonjwa.

Uzuri ya huu ugonjwa hauchukui muda mrefu, wale wanaodhani kwamba Tanzania tuna watu wenye virusi lakini hatuwapimi kutokana na uwezo mdogo, baada ya wiki mbili kutakuwa na Wagonjwa wengi watakaokwenda Hospital na wengina wataanza kujifia huko majumbani mwao. Tafadhalini msije mkasema hata vifo pia hatuna uwezo kuvigundua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee, If you are not aware it doesn't mean things are not happening,
Tz is doing a lot on the ground of which no one bothers to open threads in here,
Ungejua the level of preparedness kwe health workers iliyopo wala usingejinasibu kufungua Kinywa, Hapa Muhimbili ni continuous race, Hospitali zote za umma watu hawalali provided that other health services need to continue as well..
Hiyo ni tweet ya Waziri wa Afya na hao walikuwa quarantine, Imagine that was 6days ago, now the number is huge as the tracking continues , I hope we will get out of this na kama kuna mtu alitengeneza hii kitu Mungu amuadhibu sawasawa na ufedhuli wake.
Nataka hii jibu,
Lazma tuwe transparent as a block.
Juu Uganda jana walipima 100 wakapata 11 children nayo.
20200402_063703.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom