Nchi za EA zagawanyika katika mbinu za kupambana na maambukizi ya Corona

LOL Kuna mwanaume mmoja alikua anapigwa halafu analia kama ng'ombe [emoji23][emoji23][emoji23]
Ikija tz wote mtajifungia ndan[emoji3][emoji3][emoji3]

god is good
 
LOL aggressive attitude ipi? Mnakung'utwa na police kama magunia na mnatii, si mngeleta timbwili kama ninyi kweli mpo aggressive πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
What do you understand by the term aggressive? Naona kidogo maana yake hujui? Umekimbia kuleta pumba
 
Jifunze kupitia hyo table jomba..huo ugonjwa hautabiriki hata kidogo na wala sio wa mzaha km wengi wanavyofikiria hapa..mi bora nikakaa kimya tu


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jifunze kupitia hyo table jomba..huo ugonjwa hautabiriki hata kidogo na wala sio wa mzaha km wengi wanavyofikiria hapa..mi bora nikakaa kimya tu
View attachment 1406239

Sent using Jamii Forums mobile app
Ninasema hivi?, wiki mbili zijazo ndio zitatoa majibu, nani yupo sahihi kati ya yule mwenye kutumia nguvu nyingi katika kupima na kusoma majibu kwenye vyombo vya habari kila siku, na yule ambaye anapoteza nguvu nyingi katika kudhibiti wageni wanaoingia nchini na kufuatilia watu waliokutana na wagonjwa.

Uzuri ya huu ugonjwa hauchukui muda mrefu, wale wanaodhani kwamba Tanzania tuna watu wenye virusi lakini hatuwapimi kutokana na uwezo mdogo, baada ya wiki mbili kutakuwa na Wagonjwa wengi watakaokwenda Hospital na wengina wataanza kujifia huko majumbani mwao. Tafadhalini msije mkasema hata vifo pia hatuna uwezo kuvigundua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aggressive ya mchina kuwa chapa mboko Nairobi, baada ya kuwaingiza king kwenye SGR
Mkuu, kuna Jambo ukilielewa na Wakenya hutapata shida nao. Tofautisha their aggressive attitude na "arrogance" ambapo kidogo ndio ndugu wetu Watz huona kama majigambo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
What do you understand by the term aggressive? Naona kidogo maana yake hujui? Umekimbia kuleta pumba
LOL pewa mkong'oto kwa bill yangu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mzee, If you are not aware it doesn't mean things are not happening,
Tz is doing a lot on the ground of which no one bothers to open threads in here,
Ungejua the level of preparedness kwe health workers iliyopo wala usingejinasibu kufungua Kinywa, Hapa Muhimbili ni continuous race, Hospitali zote za umma watu hawalali provided that other health services need to continue as well..
Hiyo ni tweet ya Waziri wa Afya na hao walikuwa quarantine, Imagine that was 6days ago, now the number is huge as the tracking continues , I hope we will get out of this na kama kuna mtu alitengeneza hii kitu Mungu amuadhibu sawasawa na ufedhuli wake.
Nataka hii jibu,
Lazma tuwe transparent as a block.
Juu Uganda jana walipima 100 wakapata 11 children nayo.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…