Nchi za kiarabu mnatakiwa kuwashawishi HAMAS haraka kuwaachia mateka wa kiisrael na kukubali kushindwa

Nchi za kiarabu mnatakiwa kuwashawishi HAMAS haraka kuwaachia mateka wa kiisrael na kukubali kushindwa

ZALEMDA

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2017
Posts
1,956
Reaction score
2,225
Nchi za kiarabu na mnatakiwa kuwashawishi HAMAS haraka kuwaachia mateka wa kiisraeli ili kuokoa maisha ya wanachi,watumishi wa afya huko Gaza

Kwa makosa ambayo HAMAS ilifanya kujenga mahandaki ya kujifichia na kupanga mashambulizi chini ya hospitali shule,kambi za wakimbizi , na israel kuapa kuwamaliza hamas, ni dhahiri mpango wa dharula kuwashawishi hamas kuwachia mateka ni wa mhimu sana kuliko kuishawishi israel kusitisha vita dhidi ya Hamas.HAMAS imevunja sheria za kimataifa kwa kujificha china ya hospitali ,shule na maeneo mengine ya huduma za wananchi

Tafadhali sana nchi za kiarabu , UN ETC okoeni jahazi haraka. HAMAS wakubari kushindwa na kutafuta suluhisho la amani na siyo vita. MBINGU NA ARDHI haviko upande wenu kwa sababu mlichokifanya hakikubariki mbinguni na duniani. unachificha jini ya hospitali na shule kwa kupanga mauaji then unataka watu wakuelewe? Mungu akuelewe?

too bad
 
Ukianzisha jambo bila kujua hitimisho lake mwishowe ndiyo kujilizaliza na kuona unaonewa.Waache wacheze midundo ya ngoma waliyoiomba kwa hiyari yao.
 
nchi za kiarabu na kislam mnatakiwa kuwashawishi HAMAS haraka kuwaachia mateka wa kiisraeli ili kuokoa maisha ya wanachi,watumishi wa afya huko Gaza

n unataka watu wakuelewe? Mungu akuelewe?

too bad
Hawa jamaa bana alah wao anashindwa kuwasaidia
 
Acha watandikwe Kwanza wapate Akili
December hii itakuwa mateso makali zaidi Kwa wakimbizi wa Palestine na Hamas Kwaajili ya baridi Kali sidhani kama kutakuwa tena na hiki kikundi cha magaidi
 
Back
Top Bottom