Nchi za Kiarabu muda wa kuishinda Israel ni sasa

Walishaungana waislamu wote kuifuta Israel 1967 wakapigwa siku 6 na maeneo yakachukuliwa zaidi sasahivi na Gaza inachukuliwa

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
 
Vita muanzishe nyie halafu mlie kuomba msaada.
 
OIC iko wapi? Mbona haeadaidii wenzao?
 
Vita sio jambo zuri waarabu wakiungana kupigana iyo vita rasmi dunia itakua inaingia kwenye vita ya tatu ya dunia machafuko yatakua makubwa zaidi amani iliyopo itaondoka mashariki ya kati na ilo jambo litachange image linaweza pelekea kutokea vita kubwa sana kati ya waislam na wakristo duniani

Mfano mzuri ni mambo yanayoendelea jinsi yanavyowagusa moja kwa moja watu wenye imani za kidini haijalishi mtu yupo ulaya, Asia au Africa
Ni bora ayo mataifa yasiungane kupigana vita ila waweke nguvu kubwa kufanya suluhu ya mambo bila machafuko

Sio mambo ya kiushabiki na sio mambo yaku underestimate nguvu ya mtu hayo mataifa ni vitovu vya aya maswala ya imani za kidini kwaiyo balaa lake kukichafuka sio kama ukrein na Russia

Naona ni sawa kabisa baadhi ya mataifa yakiarabu kutoingilia hayo machafuko hao mnawaita wavaa kobaz wanatabia yakuungana kama mchwa wanatanguliza imani kali sio swala lakuchukulia poa sana

Kushinda vita sio siraha wala wingi wa watu
 
Mwambie mama Abduli apeleke msaada.......Gaza kama unaona simple.......
#freegaza
Israel ni kiburi, tena alivyopigwa ndo hataki sikia kitu, labda Marekani aseme
 
Onesha mfano kwa kuandamana
 
Turkey hawezi kufanya kitu maana si kichaa, mtu mbaya ni Iran
 
Arab league imeshakuwa compromised na Marekani, Wapalestina pekee ndio watakaojikomboa.

Aluta continua...

 
Faida za dola ni ndogo kuliko faida ya kulinda roho za ndugu zako.
Hata hivyo pale Dubai wazungu katika serikali ni wengi kuliko waarabu.Hivyo hiyo mamlaka ya kuzuia hawana.Ni aina ya ujinga wao kwa kuipenda dunia.
nyakati za mwisho watu hawajali roho ya mtu wanajali fedha. msururu watu wameenda india kula bata na kuna watu wanakufa bila dawa. hiloo lakusema aache dola unajidanganya.
 
Badala nchi za Kiarabu ziwakaribishe Wapalestina kwenye nchi zao,ndo kwanza wamezifungia
Nchi yoyote inayoongozwa kidikteta lazima US iwe imeruhusu. Nje ya hapo humalizi hata Miaka miwili.

Sasa basi hizo Nchi za kiarabu unazoona zinaongozwa kama familia zao wanapata ulinzi wa kutawala kutoka kwa huyo huyo US.

Ndio maana mgogoro unaohusu US na nchi nyingine basi wote wanaufyata
 
nyakati za mwisho watu hawajali roho ya mtu wanajali fedha. msururu watu wameenda india kula bata na kuna watu wanakufa bila dawa. hiloo lakusema aache dola unajidanganya.
Mkuu hata wahadzabe wenzako wanakufa na njaa huko chaka. Wenyewe wameenda kula bata.
 
Kaka ni udugu wa Blinken ni wa damu kwa asili yake siyo wa dini ya kiyahudi. Hao unaowataka waingie vitani ni waislam siyo wapalestina, hivyo kuna tofauti kubwa sana.

Usijifuche , tangazo lako lingeeleza moja kwa moja kupigania dini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…