ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,030
- 61,298
Tutajuta viumbe wote wa huu ulimwengu kwa kukaa kwetu kimya hata kama hamas walifanya ugaidi kwa majirani zao Israel ila sio kwa malipo haya ya hawa watoto wa Gaza nimetazama video Instagram za ma photographer waliopo ukanda huo ambapo kwa sasa NI kama nusu jehanamu Hali inatisha Sana watu mnagaiwa supu ya Moto mmeshika mabakuli ya bati na hata likikishika joto inabidi uvumilie usimwage supu.mikate wanarushiwa kama wanyama tena iliyooza aisee kwa hili hapana sema na vitoto venyewe vya gaza vinaonekana NI vijeuri Sana hivi vishalishwaga sumu za ugaidi yaani vikihojiwa na waandishi vinaonekana kabisa vikikua vimebaki na revenge moyoni.