Echolima1
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 9,662
- 8,023
Nchi za kiarabu na kiislamu zimepinga vikali Somaliland kutambuliwa na Israel. Ikumbukwe kuwa nchi ya Somaliland imekuwa huru kwa zaidi ya miaka 30 na hakuna nchi yoyote ya kiarabu iliyoitambua.
Nchi ambazo zimepinga ni Qttar,Turkey,Saudi Arabia,Iran,Yemen,Somalia,Syria. Kukataa kwa nchi hizo kutambua Somaliland Israel imetimia mwanya huo kutambua Jamhuri hiyo na sasa imekuwa Mwiba makali kwao.
Israel kuitambua Somaliland kunaipa nafasi kubwa sana kwenye mpango bahari kuingia Red-sea na sasa naamini Magaidi wa Ki-Houth wana jambajamba ovyo hawaamini macho yao